Tumgik
#Madawa
majianguo · 7 months
Text
Tumblr media
Madawa Restaurant located inside Taman Dharmawangsa Suites, a hidden fine dining experience.
0 notes
kishimotomasashi · 8 months
Note
3, 6, 25 for madara 🎤
Send a character + one or more of these questions
3. Least favorite canon thing about this character?
Madara's official appearance happening and character arc unfolding at the same time as the War Arc...
Tumblr media
Also I know I've bitched a few times about people thinking he's a misunderstood revolutionary, but I also genuinely think if by the War Arc Kishimoto hadn't decided that from now on, the Power of Friendship was going to fix all the more complex political elements in his shoddy worldbuilding, then we could've had a Madara motivation that was less stupid than "The world is exactly like my depression tells me". I think that character trait of his is still interesting enough to think about, but it also really does reflect the massive downgrade the manga went through regarding the handling of its more political elements. Madara could and would have committed regicide if Kishimoto remembered the Daimyo were a problem 😔
6. What's something you have in common with this character?
Reminding me of when my twitter dn was "ethical Madara kinnie", lmao. I do relate somewhat to his inflated ego fuelled by everyone in his environment during his developmental years telling him how much of a talented, special little boy he was. The difference between us though is that I eventually grew out of it.
25. What was your first impression of this character? How about now?
At first I honestly didn't care about him much beyond thinking of how cool he was, and having the same opinion as the dudebros who mostly only care about powerscaling him all the time, except I was also a hashimada truther. Now he is my beautiful princess with a disorder.
4 notes · View notes
abdinasir38 · 1 year
Text
Tumblr media
+254112283206 call or watsup for more information about my service
1 note · View note
sinhalasonglyrics · 2 years
Text
උන්මාද චිත්‍රා | Unmada Chithra by Sahan C ft. Kavindya A
උන්මාද චිත්‍රා | Unmada Chithra by Sahan C ft. Kavindya A
උන්මාද චිත්‍රාපෙම්වන්ති චිත්‍රාතනිකුටියේ කදුලින්ද මා ගෙන සිතා උන්මාද චිත්‍රාපෙම්වන්ති චිත්‍රාතනිකුටියේ කදුලින්ද මා ගෙන සිතා රනින් නෙතු ටැම්ගෙයයි දිලිසුනේහඩයි සත් සවනතම මුසුකලේනොහඩන්න දේවී කුමරා එයි දිනේ පoසිලු වන්නේකන්කලු බන්දේහමුවෙමු අපි නිර්වාණේ පoසිලු වන්නේකන්කලු බන්දේහමුවෙමු අපි නිර්වාණේ උන්මාද චිත්‍රාපෙම්වන්ති චිත්‍රාතනිකුටියේ කදුලින්ද මා ගෙන සිතා උන්මාද චිත්‍රාපෙම්වන්ති…
View On WordPress
0 notes
chashmenaaz · 8 months
Text
Tumblr media Tumblr media
Jo sar bhi kashida ho use daar kare hai
Aghyar to karte the so ab yar kare hai
Wo kaun sitamgar the ke yaad aane lage hain
Tu kaisa masiha hai ke bimar kare hai
Ab raushni hoti hai ke ghar jalta hai dekhein
Shola sa tawaf-e-dar-o-diwar kare hai
Kya dil ka bharosa hai ye sambhle ke na sambhle
Kyun khud ko pareshan mera gham-khwar kare hai
Hai tark-e-talluq hi madawa-e-gham-e-jaan
Par tark-e-talluq to bahut khwar kare hai
Us sheher mein jumbish-e-lab ka kaise yara
Yahan jumbish-e-mizhgan bhi gunahgar kare hai
Tu lakh 'faraaz' apni shikaston ko chhupae
Ye chup to tere karb ka izhar kare hai
(Ahmad Faraz)
6 notes · View notes
uroldhomie · 1 year
Text
"bahir ki tamaam rangeeniyan, andar ki ek udaasi ka madawa nahi kar sakti."
7 notes · View notes
beatriceportinari · 1 year
Text
madawa...
5 notes · View notes
untoldsposts · 1 year
Text
Tootne Ke Baad Log Kaha Judte Hai?
Bas Sahare Dhundte Hai Dukho Ko Kam Krne Ke Liye, Lekin Tootne Ka Dukh Kabhi Khatam Nahi Hota Hai!
Agar Hum Kabhi Mud Ke Dekhe To Hamara Dil Usi Muqaam Par Ek Chote Ziddi Bacche Ki Tarah Khada Hota Hai Jahan Hum Toote Thein.
Is Ummid Kiye Sath Ki Shyad Wo Hame Dubara Se Jod De Jisne Tooda Tha, Kyuki Uss Ke Siwa Dukho Ka Madawa Ho Hi Nahi Paata, Kehne Ko To Hum Aage Badh Jaate Hai Lkin Sach Me Aisa Hota Hai?
2 notes · View notes
joackagrovet · 5 days
Text
MASHINE YA KUCHAKATA MAJANI | GRASS CHOPPING MACHINE | CHAFF CUTTER
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
SIFA NA BEI ZA GRASS CHOPPING MAHINE
0.5 tone per hour Bei ni 1,400,000/=
1.0 tone per hour Bei ni 1,500,000/=
1.0 tone per hour Bei ni 2,000,000/= - Two fuction
3.5 tone per hour Bei ni 2,200.000/=
4.5 tone per hour Bei ni 2,500.000/=
4.5 tone per hour Bei ni 2,800.000/= - Two fuction
6.5 tone per hour Bei ni 8,500.000/=
Zipo mashine zinazotumia petrol au Disel, bei huwa tofauti
GRASS CHOPPING MAHINE ni mashine zinazo tumika kuchakata (kukatakata) majani kwajili ya mifugo hasa ng'ombe.
Hizi mashine zinauwezo wa kukatakata majani marefu na pana ili kuwa vipande vidogo vidogo kama chips.
Faida za kuchakata majani kuwa katika vipande vidogo ni nyingi sana, ambazo ni kama;
1. Husaidia umeng'enywajwi wa chakula kwa haraka.
2. Unawaza kuchanganya majani na molasses ya maji kwa hurahisi.
3. Ng'ombe hula majani ya kutosha maana hatumii muda mwingi kutafuna.
4. Yanaongeza ukuaji na uzalishaji wa maziwa.
Mashine hizi zinapatikana JOACK Company LTD, na kwa wateja wa mikoani mzigo unatumiwa mpaka mahali ulipo, Kwa gharama nafuu na uwaminifu mkubwa sana.
#mashine #majaniyangombe #mashineyakuchakatamajani #kukatakatamajani #ngombewamaziwa #chaffcutter #mashineyakuchakatamajaniyangombe #mashineyakukatamajani #grasschoppingmachine #vifaavyamifugo #pembejeo #vifaavyakilimo #mashinezakilimo
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompany #daresalaam #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #clinicyamifugo #tanzania🇹🇿 #doghospital #dogclinic #tanzania #madawa #madawayamifugo #dodoma
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
joackvetclinic · 10 days
Text
Tumblr media
VYAKULA, VIRUTUBISHO, MADAWA, SHAMPOO, CHANJO NA VIFAA MBALIMBALI KWAAJILI YA MBWA NA PAKA
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackanimalclinic @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazo - DSM na Kiromo - Bagamoyo
Karibu JOACK ANIMAL CLINIC, hii ndio sehemu pekee ambayo unaweza kupata mahitaji muhumu kwaajili ya mbwa au paka wako.
Tunauza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu zenye kuleta matokeo ya afya bora kwa mbwa wako.
Lakini wapo wa taalamu maalumu kabisa kwaajili ya kukushauri nini kinafaa kwaajili ya mbwa wako.
Baadhi ya vitu unavyoweza kupata JOACK ANIMAL CLINIC
1. Vyakula vya mbwa na paka
2. Virutubisho
3. Tiba lishe kwaajili ya mbwa na paka
4. Shampoo
5. Chanjo na madawa mbalimbali
6. Vifaa vya mbwa
7. Mabanda ya mbwa n
8. Keji za kusafirishia mbwa
9. Sumu za kuuwa wadudu kama kupe, nk
Hiyo ni orodha ya baadhi ya vitu tu, ila kama una changamoto yoyote au unahitaji ushuri usiache kuwasiliana na timu yetu ya wataalamu ili kuhakikisha kila kitu kinakua sawa.
#mbwa #paka #madawa #madawayambwa #madawayapaka #shampoo #shampoozambwa #petshampoo #vifaavyambwa #chanjo #chanjozambwa #madawayamifugo #chanjozapaka
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimo #kilimotz #tanzania #dodoma #daressalaam #morogoro #kuku #tanzania🇹🇿 #joack #kibaha #dukaladawazamifugo #madawayamifugo #mwanza
JOACK Co LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
majianguo · 7 months
Text
Tumblr media
Madawa Restaurant, Dharmawangsa Villas - The waiter told me that I looked like a boss, so here I am standing like a boss.
0 notes
rwizakakiza · 25 days
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 15: MAAMUZI YA MWANA...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 15:
‭""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
6. AINA 2 ZA MAJIRA NA NYAKATI KATIKA MAISHA YAKO.
6. 1. MAJIRA NA NYAKATI YA MWANADAMU.
Haya ni majira na nyakati zinazopangwa na Mwanadamu kwa utashi, uwezo, Ugunduzi na mamlaka aliyopewa na MUNGU. Ni uwezo wa kutambua majira na nyakati na namna ya kuenenda kwa nyakati zenyewe ili kuendesha maisha yake ya kila siku na maisha ya mwingine pia.
Mwanadamu huyu katika majira yake na nyakati zake za kibinadamu anaweza kupanga aishije (vibaya au vyema). Kutokana na anavyopanga kuishi anaweza kusaidia mapenzi ya MUNGU kutumia au akakwamisha mapenzi (makusudi) ya MUNGU yasitimie kwa muda sahihi.
Tujifunze jambo kwa Bikira Maria na Nabii Eliya.
(i). BIKIRA MARIA.
.....‭ Malaika akaingia nyumbani kwa Bikira Mariamu akasema, "Salamu, uliyepewa neema, BWANA yu pamoja nawe". "Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa MUNGU". "Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita YESU".
Mariamu akamuuliza malaika, "Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?"
Malaika akajibu akamwambia, "ROHO MTAKATIFU atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa KITAKATIFU, Mwana wa MUNGU". kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa MUNGU".
Mariamu akasema, "Tazama, mimi ni mjakazi wa BWANA; na iwe kwangu kama ulivyosema". Kisha malaika akaondoka akaenda zake.
.....Luka 1:28 - 38......
Hapo unaona Mariamu alikuwa tayari ameposwa, kwa lugha nyingine alikuwa na MIPANGO au makusudi yake kimaisha ataishije, na inaonekana yupo kwenye maandalizi ya kuolewa akiwa amejitunza (tofauti na mabinti wa sasa wanaishi na wanaume kabla ya ndoa takatifu). Lakini katikati ya maandalizi MUNGU anampa majira na nyakati zake Kwanini Mariamu alimuumba. Ashukuriwe MUNGU Mariamu alikubali.
Bikira Maria alikuwa na uwezo wa kukataa ndio maana MUNGU hakumvamia Mariamu alafu ajikute ana mimba, alielezwa na Mariamu akakubali kutekeleza majira na nyakati za MUNGU.
(ii). NABII ELIYA.
.....Yezebeli akampelekea Eliya mjumbe, kusema, "Miungu wanifanyie hivyo na kuzidi, nisipokufanya roho yako kesho, panapo wakati huu, kama roho ya mmojawapo wa hao (Manabii).
Eliya akakimbia, akaendelea katika jangwa mwendo wa siku moja, akaenda akaketi chini ya mretemu. AKAJIOMBEA ROHO YAKE AFE, akasema, Yatosha; sasa, Ee BWANA, uiondoe roho yangu; kwa kuwa mimi si mwema kuliko baba zangu"
BWANA akamwambia, Enenda, urudi njia ya jangwa la Dameski; UKIFIKA , MTIE MAFUTA ELISHA mwana wa Shafati wa Abel-Mehola mtie AWE NABII MAHALI PAKO.
.....1Wafalme 19:2 - 16....
Eliya pamoja na utumishi uliotukuka alioufanya makusudi ya MUNGU hayakutimia kupitia yeye, alikwamisha Majira na nyakati za MUNGU kwa hofu ya kumwogopa Yezebel.
Je wewe unaruhusu mapenzi ya MUNGU yatendeke au wewe ni chanzo cha kukwamisha makusudi ya MUNGU yasifanyike kwa muda sahihi?.
ZINGATIO.
Mwanadamu anapotumia vibaya majira na nyakati zake, anakwamisha kusudi la MUNGU lisitimie kwa wakati. Pili anakuwa chanzo cha kuleta au kusababisha majira na nyakati za taabu na mateso kwa wengine au hata kwake mwenyewe.
Mfano.
BWANA YESU anasema
....."MSIWAOGOPE WAUUAO MWILI, WASIWEZE KUIUA na ROHO; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum".
......Mathayo 10:28.....
Kwa lugha hiyo sio kila kifo ni mpango wa MUNGU, ila kuna vifo vingine ni MIPANGO ya wanadamu. Maana anasema Usiogope mtu anayeua mwili, mwenye uwezo wa kuua Roho ni MUNGU pekee, lakini tukubaliane watu au mtu ana uwezo wa kukutenganisha mwili wako na Roho yako yaani kwa kukuua kabisa kimwili.
Hivyo mwanadamu ana uwezo wa kuharibu majira na nyakati zake mwenyewe (kwa kujiua /madawa ya kulevya na Ulevi /Uzinzi /ushoga, nk) au kuharibu majira na nyakati za mtu mwingine (kwa kumwaribia maisha /kusingizia /Ubakaji /ulawiti /kulipiza visasi /Chuki, nk).
Lakini pia majira na nyakati zako unaweza kuzifanya zikawa za furaha, amani na upendo na wengine pia wakafurahia majira na nyakati zao kwa sababu yako na mpango wa MUNGU ukawa rahisi kutimia kwako na kwao.
Je majira na nyakati zako na wengine ni zipi?.
6. 2. MAJIRA NA NYAKATI YA MUNGU
....Tutaendelea....
Rejea
“I assure you and most solemnly say to you, whatever you bind [forbid, declare to be improper and unlawful] on earth shall have [already] been bound in heaven, and whatever you loose [permit, declare lawful] on earth shall have [already] been loosed in heaven".
......Matthew 18:18.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
joackcompanytz · 2 months
Text
Tumblr media
OFAA OFAA MASHINE YA KUCHAKATA MAJANI | GRASS CHOPPING MACHINE | CHAFF CUTTER
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill- DSM na Bagamoyo.
BEI ZA CHAFF CUTTER MAHINE - OFAA YA MUDA MFUPI
0.5 tone per hour Bei ni 1,400,000/=
1.0 tone per hour Bei ni 1,500,000/=
1.0 tone per hour Bei ni 2,000,000/= Two fuction
2.0 tone per hour Bei ni 2,000.000/=
3.5 tone per hour Bei ni 2,200.000/=
4.5 tone per hour Bei ni 2,300.000/=
4.5 tone per hour Bei ni 2,500.000/= Two fuction
6.5 tone per hour Bei ni 7,900.000/=
Zipo mashine zinazotumia petrol au Disel, bei huwa tofauti
GRASS CHOPPING MAHINE ni mashine zinazo tumika kuchakata (kukatakata) majani kwajili ya mifugo hasa ng'ombe.
Hizi mashine zinauwezo wa kukatakata majani marefu na pana ili kuwa vipande vidogo vidogo kama chips.
Faida za kuchakata majani kuwa katika vipande vidogo ni nyingi sana, ambazo ni kama;
1. Husaidia umeng'enywajwi wa chakula kwa haraka.
2. Unawaza kuchanganya majani na molasses ya maji kwa hurahisi.
3. Ng'ombe hula majani ya kutosha maana hatumii muda mwingi kutafuna.
4. Yanaongeza ukuaji na uzalishaji wa maziwa.
Mashine hizi zinapatikana JOACK Company LTD, na kwa wateja wa mikoani mzigo unatumiwa mpaka mahali ulipo.
#mashine #majaniyangombe #mashineyakuchakatamajani #kukatakatamajani #ngombewamaziwa #chaffcutter #mashineyakuchakatamajaniyangombe #mashineyakukatamajani #grasschoppingmachine #vifaavyamifugo #pembejeo #vifaavyakilimo #mashinezakilimo
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompany #daresalaam #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #clinicyamifugo #tanzania🇹🇿 #doghospital #dogclinic #tanzania #madawa #madawayamifugo #dodoma
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
joackanimalclinic · 2 months
Text
Tumblr media
TUNAUZA CHANJO ZA MBWA CHANJO YA DHLPPi NA RABIES KWA BEI YA JUMLA NA REJARE REJA.
Call/Text/WhatsApp: 0714636375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
DHLPPi ni kifupi cha magonjwa matano ambayo ni distemper, hepatitis, leptospirosi, parvovirus and parainfluenza
Hii ni chanjo inayomkinga mbwa thidi ya magonjwa matano
1. Canine Leptospirosis
2. Canine Parvovirus infection
3. Canine Distemper
4. Canine parainfluenza
5. Canine Hepatitis
Kwetu ndio sehemu pekee utapata chanjo za mbwa kwa gharama nafuu, watu wengi wa Dar es salaam na mikoani wanachukua kwetu JOACK COMPANY LTD.
Kwa wateja wa mikoani mzigo tuna tuma kwenda mkoa wowote, Gharama za usafirishaji ni juu ya mteja.
#chanjoyaparvo #dhlppi #chanjoyambwa #chanjozambwa #dhlppivaccine #tibayamifugo #matibabuyamifugo #dogsvaccine #joackvetcenter #chanjozamifugo #chanjozawanyama #chanjoyakichaa #rabies
Office zetu zipo @TegetaWazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #kilimotz #mifugotz #kilimo #mifugo #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #daressalaam #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #tanzania🇹🇿 #mbwa #kibaha #madawa #madawayamifugo #kituochaafyayamifugo
JOACK Vet Center JOACK Company Limited
0 notes
curtismadawaworldwide · 4 months
Text
Exciting New Music Release Tonight by Curtis Madawa
...
NEW MUSIC OUT TONIGHT
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
joackcompany · 9 months
Text
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
BURDIZO ni kifaa kinachotumika hasia wanyama kama mbuzi, kondoo ili kutoa uwezo wake wa kuzalisha yaani kuhasi.
Hiki kitendo kinaitwa Close castrations, yaani kuhasi mnyama bila kufanya operation ambayo mara nyingi hufanyika kwa mbuzi, kondoo na ng'ombe.
Kitendo cha kuhasi mnyama husaidia kuzuia uzalianaji wa wanyama wao kwa wao ambao wanatokana na uzao mmoja au wanaotokana na damu moja.
Wanyama wanotokana na uzazi mmoja / damu moja wakizaliana wao kwa wao husabisha madhara kwa vizazi vitavyo zaliwa kitendo hiki kinaitwa INBREEDING.
Madume yalio hasiwa hunenepa sana, na kwa wanyama kama mbuzi na kondoo hupunguza harufu kwenye nyama.
#burdizo #castration #kifaachakuhasiwanyama #kifaachakuhasi #castration #mashineyakuhasi #kuhasimbuzi #kuhasikondoo #mbuzi #kuhasichangombe #vifaavyamifugo #ufugajiwambuzi #joackvetcenter
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz
Duka la mifugo na kilimo @joackagrovet
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugotz #mifugo #kilimotz #kilimo #tanzania #daktariwamifugo #dodoma #daressalaam #tanzania🇹🇿 #ngombe #castrator #madawa #vifaavyamifugo #kituochaafyayamifugo #mwanza #morogoro
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
Tumblr media
1 note · View note