Tumgik
#uwezeshaji
derekmusisi · 1 year
Photo
Tumblr media
*Happy Easter* 💦 *The promise of Neolife ... Your health is your greatest wealth* 💥 ✨ Join us ... gain & maintain your health without compromising on your wealth. https://shopneolife.com/050-6696582/ N🌿E🌿O🌿L🌿I🌿F🌿E 💦 😀😇 DM +254721360774 for more information. Making the world healthier and happier…we are operating in 55 countries for the last 65 years 🏃🏽‍♀️🏃🏾💃!! #Healthy lifestyle #Maisha ya afya #Your heath is your greatest wealth #Afya yako ndio utajiri wako mkubwa #Empowerment #Uwezeshaji #Natural is healthy #Asili kwenye msingi ni afya #Residual income #Kipato endelezi #Part-time income #Kipato cha ziada #Flexible work #Kazi ya muda wa ziada #Remote work #Kazi ya kufanya ukiwa mbali #Profits are better than wages #Faida ni bora kuliko mshahara #Live large #Ishi kwa ustaarabu https://www.instagram.com/p/CquwhTfLVOm/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
betterlifeforall · 2 years
Text
Male Health Supplement 
Men's health supplements are one of the most effective ways for men to ensure they get the range of micronutrients a healthy lifestyle demands. There are a wide variety of available supplements for men, providing the many different minerals and vitamins that correspond with your body's various nutritional requirements. Choosing the right dietary supplement of men's vitamins or nutrients is a great way to ensure your diet includes a broad nutritional intake. 
We stock all major vitamin supplements for men and a broad range of other men's health supplements as well. You can find a wide variety of universally advantageous vitamins and minerals as well as some targeted supplements for a healthy heart, strong immune system, the growth of healthy hair and the changing health requirements of men over 50. 
For more informations click here....
1 note · View note
dreamstz1 · 4 months
Text
UNDENI VIKUNDI ILI MNUFAIKE NA MIKOPO-WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 02, 2024 amezindua jengo la kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi katika halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale, Mkoani Geita. Jengo hilo ambalo limejengwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) lililopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mheshimiwa Majaliwa amewataka wakazi wa eneo hilo kutumia fursa hiyo kupata elimu ya biashara na…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
babadupdates · 3 years
Photo
Tumblr media
Mhe.Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi Edwin Rutageruka ambaye alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) amekabidhi rasmi ofisi kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Latifa Khamis katika hafla fupi ya kumuaga iliyofanyika leo tarehe 28 Julai, 2021 Mkoani Dar es Salaam. Katika makabidhiano hayo Mhe. Balozi Rutageruka amesema amekuwa na ndoto ya kuifanya TanTrade kuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha mapato ambapo amemuomba Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Latifa Khamis kusimamia ukamilishwaji wa miradi ya Maendeleo ambayo ni Kituo cha Nafaka cha Gairo ulipo Mkoani Morogoro, Kilimanjaro Business Park uliopo Mkoani Kilimanjaro, Kurasini Export House uliopo Dar es Salaam, Wajasiriamali Business Centre, mradi wa kuendeleza Uwanja wa Maonesho wa Mwl.J.K. Nyerere (SabaSaba) na kusimamia ujenzi wa mradi wa Uwanja wa Maonesho ya Kimataifa uliopo fumba Zanzibar. Pia, Mhe. Balozi ameiomba TanTrade kuimarisha Kitengo cha Intelijensia ya Masoko cha TanTrade ambapo kitashirikiana na Waambata wa Biashara watakao kuwa kwenye Balozi za Tanzania kwenye Nchi mbalimbali na kusimamia miradi ya uwezeshaji biashara Nchini ya Tanzania Trade Information Portal, Tanzania Spice Label na mradi wa E-Shop wa Shirika la Posta kwa kushirikiana na TanTrade. Kwa upande wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Latifa Khamis amewaomba Wafanyakazi wa TanTrade kufanya kazi kwa uadilifu na ushirikiano ili kuiwezesha TanTrade kujenga mazingiza wezeshi ya biashara Nchini na kuwataka kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo kusudiwa ya TanTrade na kuahidi kutowavumilia wafanyakazi wavivu na wazembe. #BabadUpdates (at Baba d updates) https://www.instagram.com/p/CR_kz3FKmkw/?utm_medium=tumblr
0 notes
mwanachuoforum · 3 years
Text
New Job Vacancy at ASUTA Tanzania, 2021
New Job Vacancy at ASUTA Tanzania, 2021
New Job Vacancy at ASUTA Tanzania, New Job Vacancy at Asasi ya Uwezeshaji Tanzania (ASUTA) – Data Manager IntroductionAsasi ya Uwezeshaji Tanzania – ASUTA working in partnership with FHI 360 on Epidemic Control (EpiC) which is a global project funded by the U.S. President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) and the U.S. Agency for International Development (USAID) which is dedicated to…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
magaratimes · 4 years
Text
#ParsToday. | Kiongozi Muadhamu: 1400 Hijria Shamsia ni mwaka wa
#ParsToday. | Kiongozi Muadhamu: 1400 Hijria Shamsia ni mwaka wa
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kuingia leo mwaka wa Kiirani wa 1400 wa Hijria Shamsia na mbali na kutoa mkono wa baraka za mwaka huo mpya wa Nairuzi amesema: Mwa huu ni wa uzalishaji, uwezeshaji na uondoaji mikwamo na vizuizi. Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa mkono wa baraka na fanaka wananchi wenzake wote hasa familia za mashahidi, majeruhi wa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Moudline Cyrus Castico amewataka wazazi na walezi kuendelea kuwalea Watoto wao katika...
0 notes
tzegovernment · 6 years
Photo
Tumblr media
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Bi. Beng'i M. Issa akichangia mada wakati wa Kikao Kazi cha Pili cha Serikali Mtandao kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Kompyuta, Habri na Mawasiliano Februari 2, 2019.
0 notes
bongoexclusive · 5 years
Link
Waziri Mkuu Atoa Mwaka Kwa Mikoa Isiyokamilisha Mwongozo Wa Uwezeshaji
0 notes
derekmusisi · 1 year
Photo
Tumblr media
*Pasaka njema* 💦 *Ahadi ya Neolife ... Afya yako ndio utajiri wako mkuu* 💥 ✨ Jiunge nasi ... pata & dumisha afya yako bila kuathiri mali yako. https://shopneolife.com/050-6696582/ N🌿E🌿O🌿L🌿I🌿F🌿E 💦 😀😇 Wasiliana Nami +254721360774 kwa taarifa zaidi. Tunawezesha dunia kuwa yenye afya njema na furaha...tunafanya kazi katika nchi 55 sasa kwa takriban miaka 65 🏃🏽‍♀️🏃🏾💃!! #Healthy lifestyle #Maisha ya afya #Your heath is your greatest wealth #Afya yako ndio utajiri wako mkubwa #Empowerment #Uwezeshaji #Natural is healthy #Asili kwenye msingi ni afya #Residual income #Kipato endelezi #Part-time income #Kipato cha ziada #Flexible work #Kazi ya muda wa ziada #Remote work #Kazi ya kufanya ukiwa mbali #Profits are better than wages #Faida ni bora kuliko mshahara #Live large #Ishi kwa ustaarabu https://www.instagram.com/p/CquvcLQrsCT/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mazallaposts · 6 years
Link
Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Kate Kamba ameitaka idara ya ardhi wilaya ya Ilala kuhakikisha kuwa wanafanya kazi zao kwa juhudi zaidi ili kuondoa tatizo la kutorasimishwa kwa maeneo mbalimbali hapa nchini hasa miji inayokua ambayo baadae ianakuwa kero kwa wananchi. Hayo ameyasema jijini Dar es salaam Aprili 14 2018 kwenye ziara ya ukaguzi wa miradi ambayo ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi wa chama Cha mapinduzi CCM katika kipindi Cha julai _Disemba 2017 kwenye sekta ya huduma za Jamii Afya maji ujenzi wa shule miundombinu pamoja na uwezeshaji wananchi kiuchumi. Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia mjema. Aidha katika ziara hiyo iliyowahusisha madiwani viongozi wa CCM Ilala pamoja na wakuu wa idara imetembelea miradi ya ujenzi wa shule za juhudi na uhuru mchanganyiko na kisima cha maji cha kisukuru ambapo amewataka madiwani kushirikia kikamulifu kwenye ujenzi wa miradi hiyo ili kugundua mapungufu na kuyafanyia marekebisho kwa haraka. Mwenyekiti CCM mkoa Bi. Kamba ameitaka halmashauri kuangalia jinsi ya kupunguza gharama za ujenzi wa miradi na iwe katika hali ya ubora ikiwemo kuondoa gharama zisizo za lazima kwa kutumia mafundi wa maeneo husika kwa bei nafuu pamoja na kununua saruji zisizotozwa kodi. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Bi.Kate Kamba (kushoto) akishauriana jambo pamoja na viongozi wengine wa chama hicho. Sambamba na hayo bi Kamba ameutaka pia uongozi wa wilaya ya Ilala kuangalia njia nzuri za kuwasaidia vijana wanaoendesha bodaboda kufanya kazi zao kwa ufanisi bila kuvunja sheria kwani wanategemewa kwenye utunzaji wa familia pamoja na ukamataji unauzingatia utaratibu maalumu. Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia mjema amesisitiza kuwa wilaya ipo salama na kuwakaribisha wawekezaji kuja kwa wingi na kuahidi kushirikiana nao kwa karibu zaidi ili kukuza uchumi wa nchi na pale itakapogundulika uvunjifu wa amani taarifa zitolewe ili wahusika wachukuliwe hatua. mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ilala Ubaya Chuma (katikati) akishauri jambo. Naye mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ilala Ubaya Chuma amemshukuru mwenyekiti wa mkoa kukubalia kutembekea miradi hiyo na kumdhibitishia kuwa mahusiano yao na halmashauri yapo vizuri na mapungufu yaliyojitokeza yatarekebishwa. Hata hivyo ameongeza kuwa kutokufikia malengo yaliyokusudiwa ni kutokana na upatikanaji mdogo wa fedha kutoka serekalini pamoja na kutofika kwa wakati hivyo kuomba usimamizi mzuri wa bajeti ili kupatikane fedha za kutosha.
0 notes
dreamstz1 · 4 months
Text
WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WANAOTEKELEZA AFUA ZA WANAWAKE
Awataka watumie taarifa za na takwimu za sensa kuandaa mipango yao WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wanaotekeleza afua mbalimbali za wanawake watumie taarifa na takwimu za sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 katika kuandaa mipango na mikakati ya uwezeshaji wa wanawake nchini.Mbali na hayo pia Mheshimiwa Majaliwa amewasisitiza wadau hao wanaotekeleza afua za wanawake waandae…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
kiswahilichetu · 7 years
Text
Trump asema itakuwa 'raha' kushindana na Oprah Winfrey 2020
Tumblr media
Rais Donald Trump anasema kuwa ''itakuwa furaha'' kutetea wadhfa wake wa urais dhidi ya aliyekuwa nyota wa kipindi cha mazungumzo nchini Marekani Oprah Winfrey huku kukiwa na wito wa yeye kuzindua kampeni ya kuwania urais.
''Ndio nitamshinda Oprah'', bwana Trump aliwaambia maripota wakati wa mkutano kujadili mabadiliko ya sheria za uhamiaji na maseneta wa Marekani.
Mwanawe wa kike Ivanka Trump alijiunga na raia wengine wa taifa hilo kusifu hotuba ya Oprah wakati wa tuyo za Golden Globe.
Mwandani wa Winfrey anasema muigizaji huyo 'havutiwi' na uwezekano wa kutangaza kuwania urais 2020.
Hotuba yake kuhusu umuhimu wa kukabiliana na ukosefu wa usawa wa kijinsia ilivutia pongezi kutoka kila eneo la Marekani.
Bwana Trump alisema wakati wa mkutano wake siku ya Jumanne kwamba kampeni dhidi ya bi Winfrey itakuwa ya kufurahisha sana.
Aliongezea: Nilishiriki miongoni mwa vipindi vyake vya mwisho.
Alikuwa na Trump na familia yake. Nampenda sana Oprah lakini sidhani kwamba atawania urais.Nilimjua sana, aliongezea.
Miongo miwili iliopita katika CNN, bwana Trump alisema kwamba iwapo atawania urais basi atamchagua bi Winfrey kuwa mgombea mwenza .''Oprah. Nampenda Oprah''.
''Oprah atakuwa chaguo langu la kwanza'', alimwambia mtangazaji Larry King mwaka 1999.
''Iwapo atawania itakuwa vyema.Ni mtu maarufu, ni mtu mwenye kipaji na mwanamke mzuri sana''.
Mwaka 2015 - wiki moja kabla ya kutangaza kuwa atawania urais-bwana Trump alisema kuwa angependelea kumchagua bi Oprah kuwa makamu wake wa urais.
''Nadhani Oprah angekuwa bora. Ningependa kuwa na Oprah'', alisema akiongezea ''tutaibuka washindi kwa urahisi mno''.
Mwandani wa Winfrey Gayle King alisema mapema siku ya Jumanne kwamba mtangazaji huyo hawanii urais.
''Sidhani kwamba anavutiwa na wazo hilo sidhani'', bi King aliambia chombo cha habari cha CBS alfajiri.
''Najua kwamba baada ya miaka kadhaa ya kutazama kipindi cha The Oprah Winfrey, huwa una haki ya kubadili mafikira. Lakini sidhani kwamba anafikiria wazo hilo''.
Lakini mwanawe rais aliingia katika mtandao wa kijamii na kutuma ujumbe wa twitter akimuunga mkono bi Winfrey.
Ivanka Trump, ambaye amejielezea kuwa mshauri wa rais kuhusu maswala ya ajira, uwezeshaji wa kiuchumi, maendeleo ya kikazi, na biashara amefanya sera ya maswala ya wanawake kuwa swala kuu tangu alipojiunga na ikulu ya whitehuse.
Chanzo: bbcswahili.com
0 notes
derekmusisi · 1 year
Photo
Tumblr media
We celebrate our Brand-New Sapphire Director *AMINA HAJI* from *TANZANIA* for achieving a major milestone in our business opportunity. 4 years ago, you were struggling financially, now you have joined the awesome World Team level in our business. You had the option to do nothing & complain how hard life is, as most people in tough situations do *BUT* you choose to be part of this great opportunity, You worked your business diligently & this is why we are celebrating you today ... Hongera 🎂💥👏👏👏 Now a world of health, wealth & travel awaits you in the World Team 🌍🏃🏽‍♀️🌎🏃🏾🗺️💃!! https://shopneolife.com/050-6696582/ N🌿E🌿O🌿L🌿I🌿F🌿E DM +254721360774 for more information. Making the world healthier and happier…we are operating in 55 countries for the last 65 years 🏃🏽‍♀️🏃🏾💃!! #Healthy lifestyle #Maisha ya afya #Your heath is your greatest wealth #Afya yako ndio utajiri wako mkubwa #Empowerment #Uwezeshaji #Natural is healthy #Asili kwenye msingi ni afya #Residual income #Kipato endelezi #Part-time income #Kipato cha ziada #Flexible work #Kazi ya muda wa ziada #Remote work #Kazi ya kufanya ukiwa mbali #Profits are better than wages #Faida ni bora kuliko mshahara #Live large #Ishi kwa ustaarabu https://www.instagram.com/p/CqsaWb-INx2/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
derekmusisi · 1 year
Photo
Tumblr media
Hello, GO GREEN & STAY HEALTHY WITH DAN ODERO. Date : *Sunday 2nd April 2023* Time : *5: PM (EA Time) ;14 GMT* 4: PM (SA/Rwanda Time) 3: PM (Nigeria Time) Zoom Link :👇🏽 https://us02web.zoom.us/j/3702825880?pwd=Q2pQdXYxOWEwcWlhWVRoR0loWEVYUT09 Meeting ID : 370 282 5880 Passcode: NEOLIFE DM +254721360774 for more information. https://shopneolife.com/050-6696582/ N🌿E🌿O🌿L🌿I🌿F🌿E Based in nature backed by science…we are operating in 55 countries for the last 64 years 🏃🏽‍♀️🏃🏾💃!! #Our Health #Afya yetu #Healthy Lifestyle #Maisha ya Afya #Neolife cares #Neolife inatujali #Organic Nutrition #Lishe ya Kikaboni #Your health is your greatest wealth #Afya yako ndio utajiri wako mkubwa #Empowerment #Uwezeshaji #Natural is healthy #Asili kwenye msingi ni afya https://www.instagram.com/p/CqiM7u6LhEk/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
derekmusisi · 2 years
Photo
Tumblr media
Welcome to our session on 💥 *ACIDITY, ULCERS & OTHER DIGESTIVE ISSUES WITH DENNIS MAINA* *DATE:* Sunday 26th February 2023 *TIME* *5: PM (EA Time); 14 GMT* 4: PM (SA/Rwanda Time) 3: PM (Nigeria Time) Zoom Link 👇🏽 https://us02web.zoom.us/j/3702825880?pwd=Q2pQdXYxOWEwcWlhWVRoR0loWEVYUT09 Meeting ID: 370 282 5880 Passcode: NEOLIFE DM +254721360774 for more information. https://shopneolife.com/050-6696582/ N🌿E🌿O🌿L🌿I🌿F🌿E Based in nature backed by science…we are operating in 55 countries for the last 64 years 🏃🏽‍♀️🏃🏾💃!! #Our Health #Afya yetu #Healthy Lifestyle #Maisha ya Afya #Neolife cares #Neolife inatujali #Organic Nutrition #Lishe ya Kikaboni #Your health is your greatest wealth #Afya yako ndio utajiri wako mkubwa #Empowerment #Uwezeshaji #Natural is healthy #Asili kwenye msingi ni afya https://www.instagram.com/p/CpHs_-ErH38/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes