Tumgik
#Nchi za Magharibi
magaratimes · 2 years
Text
#VOA. | Wadau wa mazingira wadadisi usalama wa nguo za mitumba kwa mazingira
#VOA. | Wadau wa mazingira wadadisi usalama wa nguo za mitumba kwa mazingira
Wanamazingira wadai kuwa nguo za mitumba zinachangia kuongeza tatizo la taka na baadhi ya watu wanahoji iwapo nchi za Magharibi na Asia zinazo safirisha mitumba kwenda nchi za Afrika wanatumia fursa hiyo kugeuza bara hilo ni jaa la kutupa uchafu. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA Swahili.
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
wikielimu · 2 years
Photo
Tumblr media
HOMA YA NYANI Homa ya nyani (monkeypox) ni ugonjwa unaosababishwa na virusi uliogunduliwa kwa nyani waliokuwa wamelelewa maabara mwaka 1958. Ugonjwa huu unapatikana zaidi katika nchi za magharibi mwa Afrika. Aina nyingi za wanyama ikiwemo na binadamu wanaweza kuambukizwa ugonjwa huu. Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa homa ya nyani vinafanana kwa karibu na virusi vinavyosababisha ugonjwa wa ndui (smallpox) na ugonjwa wa homa ya ng’ombe (cowpox) kwa wanadamu. https://wikielimu.com/ugonjwa-wa-homa-ya-nyanisababudalilimatibabu/ #WikiElimu @wikielimu @hwi.or.tz https://www.instagram.com/p/CeMmPPqqp3p/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
tanzaniampyanews · 3 years
Photo
Tumblr media
AEC yapinga msimamo wa Magharibi juu ya Miradi ya Mafuta ya Afrika Chama cha Wafanyabiashara wa Nishati Afrika (AEC) kimetoa wito wa kuzigomea nchi za Magharibi na watetezi wa mabadiliko ya hali ya hewa wanaopinga maendeleo ya sekta ya mafuta na gesi barani Afrika. Taarifa iliyotolewa jumanne na AEC mjini Johannesburg, Afrika Kusini imesema, wasomi wa Magharibi wanatumia athari za mabadiliko ya tabianchi duniani "kuvuruga maendeleo ya Afrika" kwa kufanya kampeni ya kuyataka mashirika yao ya kimataifa kusimamisha uwekezaji katika sekta ya nishati ya Afrika. Chama hicho kimesema, kitazihimiza nchi za Afrika zipinge na kuacha ushirikiano na kampuni za kimataifa zinazosimamisha uwekezaji na kupinga maendeleo ya sekta ya mafuta ya Afrika. https://www.instagram.com/p/CRYJroELzJY/?utm_medium=tumblr
0 notes
sariaisrael · 3 years
Text
Soka Afrika Mashariki limerudi gizani
Soka Afrika Mashariki limerudi gizani
Wachezaji wengi wa Afrika mashariki wameonekana kutokuwa na mwendelezo wa viwango vyao. Ni kama vile soka lenyewe linaugua homa za vipindi. MATOKEO ya michezo ya makundi ya timu za Afrika mashariki kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) zimeingia shubiri. Ukanda huo ukiwa na nchi wanachama 10 umeshindwa kufurukuta katika kandanda na kuzishuhudia timu za Afrika magharibi na kaskazini…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mazallaposts · 6 years
Quote
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Msimamizi wa Makampuni ya Albawardi, Fouad Mustafa ya Umoja wa Falme za Kirabu ofisini kwake Jijini Dodoma jana ambapo walijadili uwekezaji wa kuimarisha sekta ya utalii na uhifadhi nchini. Umoja huo umeahidi kutoa ushirikiano wa ujenzi wa barabara inayounganisha Hifadhi ya Ngorongoro na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. ......................................................................... WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameonana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia na Kuwait pamoja na Msimamizi wa Jumuiya ya Makampuni ya Albawardi inayoendesha hoteli mbalimbali za kitalii nchini ikiwemo Hyatt Regency  na Four Season Serengeti ofisini kwake Jijini Dodoma jana. Mazungumzo hayo yaliyolenga kujadili mambo mbalimbali ya kuimarisha sekta ya uhifadhi na utalii kwa maslahi ya nchi hizo tatu. Mabalozi hao ni Bandar Abdulla wa Saudi Arabia, Mohammad Rashed Alamiri wa Kuwait na Fouad Mustafa Msimamizi wa Makampuni ya Albawardi ya Umoja wa Falme za Kirabu kwa upande wa Tanzania na Afrika ya Mashariki. Dk. Kigwangalla aliwaomba mabalozi hao kupitia jumuiya zao za uwekezaji kuwekeza katika miundombinu ya hoteli za kitalii Jijini Dodoma na kwenye Mapori ya Akiba katika Sakiti ya Kaskazini, Kusini na Magharibi hususan Pori la Akiba la Burigi. Naye Msimamizi wa Jumuiya ya Makampuni ya Albawardi, kwa upande wa Tanzania na Afrika ya Mashariki, Fouad Mustafa alisema jumuiya hiyo ipo tayari kutoa ushirikiano kwa Serikali ya Tanzania katika ujenzi wa miundombinu ya barabara inayounganisha Hifadhi ya Ngorongoro na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Alisema mbali na uwekezaji uliopo hivi sasa jumuiya hiyo inajenga hoteli nyingine za kitalii tatu katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Hifadhi ya Ngorongoro na katikati ya Jijini la Arusha ambapo ameiomba Serikali kuzifungua kupitia viongozi wake wa juu pale ujenzi wake utakapokamilika hususan Mhe. Rais.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Msimamizi wa Makampuni ya Albawardi, Fouad Mustafa ya Umoja wa Falme za Kirabu ofisini kwake Jijini Dodoma jana ambapo walijadili uwekezaji wa kuimarisha sekta ya utalii na uhifadhi nchini. Umoja huo umeahidi kutoa ushirikiano wa ujenzi wa barabara inayounganisha Hifadhi ya Ngorongoro na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Balozi wa Kuwait hapa nchini, Mohammad Rashed Alamiri (kushoto) ofisini kwake Jijini Dodoma jana ambapo walijadili namna ya kuimarisha sekta ya utalii na uhifadhi nchini. Wa pili kulia ni Msimamizi wa Makampuni ya Albawardi, Fouad Mustafa ya Umoja wa Falme za Kirabu ambao wameahidi kutoa ushirikiano wa ujenzi wa barabara inayounganisha Hifadhi ya Ngorongoro na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.Mazungumzo yakiwa yanaendelea.Waziri Kigwangalla akizungumza katika kikao hicho.Waziri Kigwangalla akiagana na msafara huo.
http://www.mtazamonews.co.tz/2018/04/waziri-kigwangalla-afanya-mazungumzo-na.html
1 note · View note
kataarushwatz · 4 years
Photo
Tumblr media
Mmomonyoko wa maadili na Migongano ya maslahi kwa Viongozi kwa baadhi ya viongozi wa mashirika na taasisi za Umma mkoani Shinyanga umetajwa kusababisha hasara kwa serikali kutokana na uwepo wa ufanisi mdogo  katika usimamizi wa miradi ya maendeleo. Hayo yalibainishwa Januari 10 mwaka huu na Katibu Tawala wa mkoa wa Shinyanga Albert Msovela wakati akifungua mafunzo ya siku mmoja ya  sheria ya maadili yaliyofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na kujumuisha watendaji wakuu wa taasisi na mashirika ya Umma. Alisema kuwa  Sheria ya maadili ya Viongozi wa Umma inaelekeza majukumu ya viongozi wa taasisi na mashirika ya Umma, kusimamia sheria za Nchi, haki na utu ili kumsaidia Rais katika kutekeleza majukumu yake na hatimaye kutoa huduma bora kwa jamii na kuepuka kujiingiza katika migogoro isiyokuwana tija. “Wapo  baadhi ya viongozi wa Umma wanaendekeza migogoro kwenye maeneo yao yakazi kwa kufanya kazi kwa makundi na kusababisha watumishi kutowajibika ipasavyo kinyume na viapo vyao,kama wapo humu hebu wajirekebisheni haraka kabla hatua za kinidhamu hazijachukuliwa dhidi yao, alisema Msovela. Kwa upande wake Kaimu Mkuu wa Kanda ya Magharibi inayojumisha mikoa ya Tabora,Shinyanga,Simiyu na Kigoma,kutoka Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma, Gerald Mwaitebele alisema kuwa endapo viongozi hao wataamua kubadilika malalamiko hayatajitokeza tena na wananchi watapata huduma za kijamii vizuri. “Tangu tumeanza kutoa mafunzo haya katika mikoa yetu ya kanda ya magharibi tumeona mabadiliko makubwa hususani suala la maadili, uadilfu na vitendo vya rushwa limepungua na kutupa matumaini ya kuendelea kutoa elimu hii kwa ngazi zote kwenye jamii kama vile shuleni na kwenye mikutano ya hadhara ya vijji na mitaa” alisema Mwaitebele. #volunteers #causes #donate #change #activism #nonprofit #dogood #charity  #fundraising #philanthropy #SocialGood #changemakers #DoSomething #humanity #SM4NP #impact #sustainability #sdgs #globalgoals #development #youth #agenda #goals #sustainabledevelopment #kataarushwa #stopcorruption https://www.instagram.com/p/B7dExiqnBmE/?igshid=yc9iljs37f7c
0 notes
enockmaregesi · 5 years
Photo
Tumblr media
Ndege anayefanana sana na mbayuwayu, wa hifadhi ya taifa ya ndege ya Kalvebod Fælled au Vestamager au Amager Magharibi jijini Copenhagen, KINEGWA, alikuwa pamoja na wenzake akipiga miluzi wakati Mpelelezi wa Tume ya Dunia Daniel Yehuda akisafirishwa na majambazi wa Kolonia Santita; kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Copenhagen mpaka katika msitu wa Kangelunden mpaka katika kisiwa cha Saltholm, kilometa nne au tano kutoka Copenhagen. Kinegwa ni ndege mkubwa wa jamii ya mbayuwayu anayepatikana karibu na makorongo ya maji, kanda za mbuga, bahari, maziwa, mito, au sehemu yoyote iliyoko karibu na kijito. Jijini Copenhagen, Kinegwa hupatikana katika mbuga ya Kalvebod Fælled (Vestamager au Amager Magharibi – hifadhi ya taifa ya ndege, Ugandavej, Manispaa ya Tårnby). Hupatikana pia katika msitu wa Kangelunden, Msitu wa Mfalme, Vejlands Allé – karibu na Ukumbi wa Kimataifa wa Bella Center, pembezoni mwa bahari ya Baltiki. Kinegwa – anayepatikana pia katika nchi za Afrika kama vile Kameruni, Zaire, Ethiopia, Tanzania na Afrika Kusini – hupatikana pia katika kisiwa cha Saltholm kinachotenganisha Denmaki na Swideni, Daniel Yehuda alipopelekwa na majambazi wa Kolonia Santita baada ya kutekwa nyara. Ndege huyu ametumika katika kitabu cha Kolonia Santita. - -Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita #kinegwa #copenhagen https://www.instagram.com/p/B4OJIpOHztq/?igshid=89bk4cbamkyf
0 notes
magaratimes · 2 years
Text
#ParsToday. | Moscow: Nato imekiri kupigana vita Ukraine
#ParsToday. | Moscow: Nato imekiri kupigana vita Ukraine
Msemaji wa Rais wa Russia ametangaza kuwa, Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) amekiri kupitia matamshi yake kuwa muungano huo unapigana vita huko Ukraine. Dmitry Peskov amesema kuwa matamshi ya Jens Stotenberg Katibu Mkuu wa Nato kuhusu vita huko Ukraine yanadhihirisha uwepo wa muungano huo wa kijeshi wa Magharibi katika vita huko Ukraine.  Stoltenberg amesema leo…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
kujengaupya · 4 years
Text
Tumblr media
Rob, katika mazingira yake ya asili
Kama ninakumbuka sahihi miaka, Rob Veith (pamoja na mke wake) walikuwa walihamia kutoka Botswana wakati ambao nilikuwa nilihamia kwa Tanzania. Ingawa sisi wawili tumezunguka katika jaamii zile zile za taaluma, tulikutana rasmi kupitia Inspiro Arts Alliance (kwa wakati ya nyuma Sauti za Moyo Kimataifa). Tangu wakati huu, nimepewa heshimu kivutiwa na kazi ya Rob kwa kutekeleza miradi mifupi naye katia nchi za Kenya pamoja na Tanzania. Jifunza zaidi kupitia maneno yake, chini.
Wewe ni nani? Habari ya msingi ungependa kushirikisha.
Kuzaliwa kaskazini ya jimbo la New York, nilitumia nusu ya maisha yangu kuishi California kusini na muda iliobaki nimekuwepo mahali mbalimbali, iwapo miaka kumi Afrika. Hadi sasa, nimekuwepo duniani kama nusu ya karne. Sasa kwangu ni Kaskazini-magharibi ya Pacific (USA), ambapo naishi pamoja na mke wangu wa miaka 19 katika nyumba ya shambani ya miaka 100 uliorekebishwa. Miti zinaonekana kupitia madirisha yangu yote na nina wajamaa wanaoishi jirani yangu.
Kwa wakati huu maishani mwangu, nina urefu juu ya kawaida, na nywele zinazo urefu chini ya kwaida.
Tafadhali tuambie kitu cha pekee kuhsu wewe.
Sina rangi ninanayopenda kuliko.
(Sijui kama ni kitu cha pekee, lakini mara nyingi ninaulizwa kuhusu rangi ninayopenda, na ninaona ngumu kujibu swali hili. Miaka mengi nilifanya kazi ya graphic design, hivyo nikipofikiria rangi, sifikiri nyekundu ama kijani nafikiri Pantone 3102 au kitu kama hicho. Pia, kuna rangi nyingi na zote zinathamani yao. Sina upendeleo.)
Yesu ni nani maishani mwako?
Hili ni aina ya swali ningeweza kutumia siku kadhaa kujibu. Jibu fupi - jibu ya shule ya Jumapili kanisani - ni kwamba yeye ni Bwana na Mwokozi yangu. Na ni kweli! Lakini sisi sote tuna maana binfasi kwa maneno haya mawili. Kuwa na Bwana inamaanisha nini? Kuwa na mwokozi inamaanisha nini?
Nilikuja kwa Yesu badaye ya kipindi cha kutafuta. Nilichunguza dini na falasafa nyingi. Yesu alinivutia na hekima na umuhumu wake. Niliona kati yake upekee ambayo niliipongeza.
Katika ujana wangu nilibaini na uzuri wa punk, siyo sana nguo za punk, lakini maadili yake ya msingi; uwe wewe, fanya yako, fanya mambo ya maana. Dini haifai katika haya; kwa namna nyingi dini ni kinyume ya punk; dini ni ufanye kama tuliofanya kamwe wakati tunayokuambia kuifanya. Dini ni orodha; fanya mambo haya yote na umefanya dini sahihi. Nilivutiwa na Yesu, lakini sikumfuata kwa sababu sikujua namna. Yesu alikuwa na uzuri, lakini dini ambao nilikua na hakuwa na uzuri. Mwishoni wa ujana wangu nilisikia mhubiri kusema Matendo 17:6, kwa kusema "Wale wakiume waliogeuka dunia juu chini..." na waza hili lilipasua akili yangu. Yesu hauwepo kuorodhesha orodha. Yesu aligeuka dunia juu chini. Ambao ni kitu cha punk sana. Ilikuwa katika roho hii kwamba nilianza kumfuata Yesu.
Sasa tunaweza kuongea kushu namna nyingi ambao Yesu anatoa changamoto kwa hali ilivyo. Haya labda ni mazungumzo mengine.
Usipokuwepo ofisini, unapenda kufanya nini?
Kazi yangu nyingi zinafanya nje ya ofisini. Ninapenda kazi yangu. Hivyo, nisipokuwepo ofisini, napenda kufanya kazi.
Kazi yangu inahusika kubuni vitu vipya na kuwasaidia wengenie kubuni vitu kwa utukufu wa Mungu. Kwa siku zangu nzuri, ninapewa fursa kutembea na watu wanaopenda muziki, lakini hawakuwahi kutunga wimbo, na kuwasaidia kutunga wimbo mpya kabisa inaowasaidia kuelewa zaidi Mungu na Neno Lake.
Kwa kuburudika, napenda kula chakula kizuri, na kugundua maeneo ya asili. Kitu kimoja nakumbuka sana kati ya nyakati huu ya kujitenga ni kuwa pamoja na wazazi wangu mara mbili kwa wiki kwenda kwa chakula kizuri katika moja ya hoteli nzuri sana jirani yetu (wazazi wangu wanaishi upande mwingine wa wilaya).
Unafikiri nini kuhusu maisha yako ya sasa hivi? Unatumaini na unapanga nini kwa wewe binfasi, familia wako, kazi, n.k...?
Ni ngumu kuwa na mipango sasa hivi.
Nilikuwa na mipango kubwa mwezi moja iliopita. Mwezi wa Tatu, nilikuwa nilitaka kuwepo Thailand kufundisha. Mwezi wa Nne, nilikuwa nilitaka kwakilisha shirika langu katika mkutano mkubwa iliotakakufanikiwa Greece. Mwezi wa Sita nilikuwa nilitaka kuwa na mfufulizo wa semina ya kutunga nyimbo katika Kosovo na Bangladesh. Mwezi wa Saba, nilikuwa nilitaka kuwa moja ya watu kuongoza sifa na kuabudu katika mkutano wa Global Consultation on Music in Mission iliotakakufanikiwa mji wa Dallas, USA. Nilikuwa na kazi ya uzalishaji ya CD sita au saba kushikana katika nafasi za katikati.
Sasa hivi sitarajia yoyote kufanikiwa.
Bado natafakari huzuni fualni kwa mwaka 2020 bila mipango.
Napanga kuishi...kustawi mahali. Malengo yangu mapya ni mambo yanoendelea kupangwa.
Ninatunga na ninazalisha muziki. Ninafanya kitabu cha pili katika mfululizo wa riwaya ya graphic. Ninajaribu kushirikishana kwa ubali na watu fulani kwa miradi ya ubunifu ambao bado ni mchanga kiasi cha kutosha kutoyaongelea sana sasa hivi.
Nimepewa ushauri kuanza kazi ya PhD na sasa nipo kwenye mchakato ya kuomba nafasi.
Nini ungemshauri mtu anayetaka kuja USA kwa mara ya kwanza?
Sasa siyo wakati nzuri kukuja! Ha!
Lakini kwa kumaanisha. Uje USA kwa fikra wazi. Yoyote unayofikiri ni USA, ndio ni tofauti. Hii ni kweli pia kwa watu kutoka USA wanaosafiri kwa sehemu tofauti ya nchi. Los Angeles ni tofauti na New York kama New York ni tofauti na Seattle, kama Seattle ni tofauti na Dallas. Sikuwahi kushutkwa na utamaduni kama nilishutkwa kuhamia kutoka Seattle kwa Dallas. Zaidi kuliko kuhamia Botswana. Hii nidio ni miji mikubwa tu.
Je, wewe ni mwenye ubunifu? Kama ndio, tafadhali tuelezee zaidi.
Ndio.
Nafanya aina nyingi ya vitu.
Hivi karibuni mambo mawili makubwa yanahusika muziki na riwaya ya graphic.
Kama mwana muziki, ninapiga vyombo kama 12 kwa ustadi. Pia ninatunga, ninazalisha, na ninatengeneza muziki. Nina sifa kuwa utunzi wa nyimbo, mwana muziki, mzalishaji, au mhadishi kwa miradi kama 50. Wato ambao labda hujawafamu. Nafanya kazi ninazothamini, siyo kwa kazi zinazoweza kunipatia sana pesa au kujulikana. Napiga mtindo mbalimbali. Mtindo yangu ya "asili" inaambantana sehemu za freak folk, folk punk, jam rock, na low fi. Nawakilisha mbele bendi ambao ninasimama nyumba inaoitwa One Finite Monkey (onefinitemonkey.bandcamp.com). pia mimi ni mtunzi wa nyimbo ya kwanza kwa mradi ya EDM inaoitwa The Space Mice. Kwa nyakati huu ambao nimejitenga kwa studio yangu nyumbani, mara nyingi ninatekeleza miradi binfasi, japokuwa nakaribisha kushirikishana na wengenie, na ninafurhaia kujaza sehemu zinazokoseka kwa miradi ya kimuziki ya watu wengenie.
Kwa ajili ya riwaya ya graphic, nimependa vitabu vya comics tangu nilikwa mtoto mdogo na nilianza kuvichora kabla niliweza kuandika maneno (nililazimisha mama yangu kuongeza sehemu ya maongezi). Mwaka jana, nilichapisha kitabu changu cha kwanza cha urefu nzima, Matembezi Urefu: Dragons Katika Nchi za Kistaarabu, Kitabu cha Kwanza, (The Long Walk: Dragons in Civilized Lands, Volume 1 kinachopatikana kwa Amazon, Comixology, and DriveThruComics), ambao ni waraka ya upendo kwa ile "sword na sorcery genre" na comics ya uhuru niliogundua katika miongo ya 1970 na 1980 mwanzoni. Nipo kwa kina katika kitabu cha pili na niatumaini kukikamilisha kabla ya mwishoni wa mwaka.
Chochote kingenie unachopenda kusema?
Tafuta furaha. Ubarikiwe.
Nashukuru sana Rob, hii inapendeza, labda kwa sababu wewe unapendeza. Ilikuwa heshimu yangu kukuonyesha hapa, na ninakuombea kwamba Mungu aendelee kujitukuza kupitia wewe. Amekupatia moyo mwema, na ulimwengu wa ujuzi unaoifanyia dunia hii kuwa kama kwake, zaidi.
0 notes
tanzaniampyanews · 4 years
Photo
Tumblr media
Wanaume wanne walipoteza Maisha yao na wengine 11 walilazwa hospitalini kaskazini magharibi mwa Kambodia katika jimbo la Banteay Meanchey baada ya kunywa mvinyo wa mitishamba wa sumu, mkuu wa afya wa mkoa alisema Jumatano. "Watu wanne wamekufa hospitalini tangu Jumatatu na wengine 11 walilazwa hospitalini baada ya kuripotiwa kwamba kunywa mvinyo wa mitishamba isiyo sajiliwa," Le Chansangvath, mkurugenzi wa idara ya afya ya mkoa wa Banteay Meanchey, aliiambia shirika la Habari la Xinhua. "Wahasiriwa wana dalili zinazofanana: kizunguzungu, kuwasha macho, uchovu, maumivu ya tumbo na kutapika," alisema. Chansangvath alisema mvinyo huo usiyosajiliwa kwajina "Taing Kuoy" iliuzwa kwa bei ya chini ya 1,000 pesa za nchi (kama senti 25 za Marekani) kwa chupa ya plastiki ya 500ml na watumiaji walikuwa watu masikini, wafanyikazi wa ujenzi au wabeba mizigo. Mvinyo wa mitishamba au mchele ni maarufu katika maeneo ya vijijini huko Kambodia kwa sababu ya bei yake rahisi. https://www.instagram.com/p/CBQNMKLgnbn/?igshid=h2i8xv6eb2cl
0 notes
0714091786 · 6 years
Photo
Tumblr media
Wilaya ya Pangani ni kati ya wilaya za Mkoa wa Tanga katika Tanzania yenye Postikodi namba 21300. Imepakana na wilaya ya Muheza upande wa Kazkazini, Wilaya ya Handeni upande wa magharibi, wilaya ya Bagamoyo (Mkoa wa Pwani) upande wa kusini na Bahari Hindiupande wa mashariki. Makao makuu ya wilaya yako Pangani mjini. Wilaya ina wakazi 54,025 (2012) [1]. Eneo la wilaya ni kama kanda linalofuata ufuko wa Bahari Hindi. Mji wa Pangani upo mdomoni mwa mto Pangani unaoingia ndani ya nchi kavu kwa umbo la mlngo mpana. Maeneo yaliyo karibu zaidi na bahari yenye ardhi ya rutba kuna kilimo cha korosho, nazi, mihogo, mahindi, viazi vitamu na ndizi. Maeneo ya ndani zaidi pasipo na rutba sana kuna mashamba ya katani na mahindi. Kihistoria mazingira ya Pangani ni kati ya maeneo ya utamaduni wa Uswahilini; kabla ya ukoloni kulikuwa na mashamba ya Waarabu waliotumia watumwa na tanggu kufika kwa ukoloni wa Kijerumani mashamba makubwa ya katani yalianzishwa. Wilaya hii ilikuwa pia nyumbani ya Abushiri ibn Salim al-Harthi na chanzo cha vita ya Abushiridhidi ya utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki. (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/Bpd5e6AlVU3/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1dd2nryqnvgfc
0 notes
mazallaposts · 6 years
Quote
 Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina (katikati) akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambapo pia anatarajiwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mjini Dodoma. kulia ni mwenyeji wake, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango.  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (kulia) akiwa na mgeni wake Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina, wakiingia kwenye jengo la watu mashuhuri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, baada ya Rais huyo kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambapo pia anatarajiwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, mjini Dodoma  Sehemu ya ujumbe wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), ukiwa katika chumba cha wageni Mashuhuri katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam ukiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina (hayupo pichani) aliyewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambapo pia anatarajiwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mjini Dodoma.  MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Kanda ya Afrika Mashariki, Dkt. Nyamajeje Weggoro, akizungumza jambo wakati Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina (kushoto) akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambapo pia anatarajiwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mjini Dodoma. Katikati ni Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb).  Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina (kulia) akisisitiza jambo alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambapo pia anatarajiwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mjini Dodoma. kulia ni mwenyeji wake, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango.  Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina (kulia) na mwenyeji wake Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) wakigonga “tano” wakati wa mazungumzo yao wakati rais huyo alipowasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambapo pia anatarajiwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mjini Dodoma. Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina (kushoto) na mwenyeji wake Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) wakiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, tayari kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambapo pia anatarajiwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mjini Dodoma. ………………. Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB,  DKT. AKINUMWI  ADESINA, ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli na kuahidi kuwa benki yake itawekeza zaidi ya dola za Marekani bilioni 1 nukta 5 kwenye sekta mbalimbali katika kipindi cha miaka miwili ijayo, Dkt. Adesina ameyasema hayo alipowasili kwenye  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, na kupokelewa na mwenyeji wake, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango. “Tunajivunia uhusiano wetu wa muda mrefu na Tanzania ambayo ni mnufaika anayeongoza miongoni mwa nchi za kiafrika kupata ruzuku na mikopo yenye masharti nafuu kutoka benki yetu ambapo tangu mwaka 1971, Benki imewekeza zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.6” alisema Dkt. Adesina Alisema kuwa miradi inayoendelea hivi sasa nchini Tanzania kupitia ufadhili wa Benki yake imefikia thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 2 ambapo uwekezaji mkubwa uko katika sekta za nishati ya umeme, usafiri, miundombinu ya barabara, kilimo, maji na usafi wa mazingira, kusaidia Bajeti Kuu ya Serikali pamoja na uendelezaji wa rasilimali watu. “Katika miundombinu ya barabara peke yake, Benki yangu imewekeza zaidi ya dola za Marekani bilioni 1.1 na kwamba uwekezaji huo utasaidia kuboresha usafirishaji wa bidhaa na abiria hivyo kuchochea ukuaji na uendelezaji wa uchumi wa viwanda” alisema Dkt. Adesina. Dkt. Adesina ameutaja mradi mwingine mkubwa wa kusafirisha umeme wenye msogo wa kilovolti 400 wenye njia yenye urefu wa kilometa 670 katika Ukanda wa Kusini na Kusini Magharibi mwa Tanzania, unaohusisha pia ujenzi wa vituo vya kupozea umeme katika mikoa ya Iringa, Dodoma, Singida na Shinyanga, wenye thamani ya dola milioni 220. “Miradi hii pamoja na ile wa umeme wa kutumia joto ardhi pamoja na maji inayotarajiwa kupatiwa fedha na Benki hiyo, itasaidia sana mkakati wa Mhe. Rais Dkt. John Magufuli, ambaye ammwagia sifa kwa utendaji kazi wake mahili, wa kujenga uchumi wa viwanda kwa kuwa na umeme wa uhakika na wenye gharama nafuu” aliongeza Dkt. Adesina. Alisema Tanzania imepiga hatua katika viwango vya wananchi kupata huduma ya umeme ambapo awali ilikuwa asilimia 18 lakini hivi sasa kiwango hicho kimepanda hadi kufikia asilimia 38 na kwamba lengo la benki hiyo ni kutaka kiwango hicho kifikie asilimia 82 katika miaka michache ijayo. Alisema ili kufikia hatua hiyo Benki yake ina mpango wa kuboresha Shirika la Ugavi wa Umeme nchini-TANESCO ili liongeze uzalishaji wa umeme wenye gharama nafuu, kuongeza ufanisi na kutengeneza faida ili kuchochea maendeleo ya viwanda. Aidha, Rais huyo wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB, ameeleza kuwa benki yake inasiadia kuendeleza kilimo nchini kupitia Mpango wa Kukuza Kilimo katika Ukanda Kusini mwa Tanzania-SAGCOT, kwa kukuza masoko na uongezaji thamani ya mazao ya wakulima yanayozalishwa kupitia mradi huo. Akizungumzia miradi ya kikanda, Dkt. Adesina alisema kuwa benki yake imewekeza katika miradi ya nishati ya umeme na miundombinu ya barabara ili kuunganisha Tanzania na nchi jirani za Burundi na Kenya ili kurahisisha biashara na kuboresha upatikanaji wa nishati ya umeme katika nchi hizo. Kwa upande wake, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, ameeleza kuwa Benki ya Maendeleo ya Afrika ni mshirika mkubwa wa Maendeleo wa Tanzania kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa katika nyanja mbalimbali. Alisema kuwa AfDB, licha ya kusaidia kwa kiasi kikubwa kufadhili miradi ya ujenzi wa barabara, nishati na mingine mingi na mfuko mkuu wa Serikali, mwaja jana ilitoa pia mkopo nafuu wa dola za Marekani milioni 50 kwa ajili ya kukuza mtaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini-TADB, zinazotumika kukopesha wakulima. Dkt. Mpango amesema kuwa Rais huyo akiwa hapa nchini atatembelea mradi wa kituo cha kupooza umeme cha Zuzu kilichoko mkoani Dodoma na ataungana na Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuzindua barabara ya Dodoma-Babati hadi Arusha, iliyofadhiliwa na Benki hiyo na washirika wake.
http://www.mtazamonews.co.tz/2018/04/rais-wa-benki-ya-maendeleo-ya-afrika.html
0 notes
kataarushwatz · 4 years
Photo
Tumblr media
Asasi za kiraia na mashirika yasiyo ya kiserikali Mkoani Shinyanga yametakiwa  kutobatilisha matumizi ya  fedha wanazopatiwa na wahisani  mbalimbali kutoka nje ya nchi na badala yake wazilekeze katika malengo mahususi ili kuleta tija na mabadiliko chanya katika jamii wanazozihudumia. Hayo yamebainishwa na Kaimu mkuu wa kanda ofisi ya Rais, Sekteratieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Magharibi Tabora,  Gerald Mwaitebele, wakati akitoa mafunzo kwa viongozi wa asasi mbalimbali kuhusiana na sheria ya maadili ya viongozi wa Umma yaliyofanyika mjini Shinyanga. “Wapo baadhi ya viongozi wa mashirika na asasi hizi hubatilisha matumizi ya fedha wanazopatiwa na wahisani hususani fedha za kulelea watoto yatima wazee,na makundi mengine katika jamii yasiyo jiweza lakini wapo watumishi wa umma waliokasimishwa majukumu ya kuzisimamia tutahakikisha hawajihusishi na rushwa”alisema Mwaitebele. Sheria ya maadili ya viongozi wa umma inakataza viongozi wa asasi hizi kujinufaishwa wenye kuwa kutumia mamlaka yao vibaya ikiwa ni pamoja kutumia fedha za wahisani katika shughuli zao binafsi  jambo ambalo litanaweza kuwakatisha tama wafadhili wao na kuipa sifa mbaya kuhusiana na asasi na mashirika haya. “Kila kiongozi wa asasi na mashirika yasiyo ya kiserikali anawajibu wa kuhakikisha ana timiza malengo mahususi kwa kuzingatia katiba zao za undeshaji wao ili kuepuka migongano ya maslahi baina yao na jamii wanayoihudumia”alisema Doto. Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya viongozi wa asasi hizo,Mericiana  Stanley katibu mkuu wa taasisi ya Young Women Christian Asociasion (YWCA) na   Joseph Mpagala mkurugezi wa Asasi ya (COWOSE) za mkoani Shinyanga walisema wameipongeza tume ya maadili kwa kutoa mafunzo hayo kwani yamesaidia kuwakumbusha wajibu wao katika utendaji kazi. Wamesema endapo viongozi wa umma ambao wamepewa mamla ya kuzisiamia asasi na mashirika hayo kwa weledi vitendo vya rushwa na ubatilishwaji wa fedha za wahisani hautajitokeza pindi wanapopata misaada mbalimbali kutoka kwa wahisani wao kwaajili ya kuihudumia jamii. #volunteers #causes #donate #change #activism #nonprofit #dogood #charity  #fundraising #philanthropy #SocialGood #changemakers #DoSomething https://www.instagram.com/p/B6zQb71HmN7/?igshid=161wuazongug1
0 notes
enockmaregesi · 5 years
Photo
Tumblr media
Bissau, mji maarufu katika bara la Afrika, kitovu kikuu cha biashara ya madawa ya kulevya katika bara la Ulaya, makao makuu ya CS-Bissau. CS-Bissau, Tawi la Kolonia Santita la Ginebisau na nchi zote za Afrika ya Magharibi na Kaskazini isipokuwa Moroko ambayo iko katika kanda ya Ulaya, inaongozwa na jambazi sugu wa Ginebisau Aregado Midana. Midana ana umri wa miaka 51. Alizaliwa Jumapili ya tarehe 8/3/1941. Ana wake watatu, watoto tisa na wajukuu wawili. Aregado Midana alikamatwa na kufungwa maisha nchini Ginebisau mwaka 1993, baada ya operesheni ya kung’oa mizizi ya Kolonia Santita duniani kote kukamilika. Mji huu umetumika katika kitabu cha Kolonia Santita. - -Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita #bissau #guinebissau #koloniasantita https://www.instagram.com/p/B3-o9Y6HRCG/?igshid=b96b7a2mc78w
0 notes
magaratimes · 2 years
Text
#ParsToday. | Raisi: Njama za maadui za kuitenga Iran zimefeli
#ParsToday. | Raisi: Njama za maadui za kuitenga Iran zimefeli
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia njama za karibuni za maadui za kutaka kutoa pigo kwa nchi hii na kueleza kuwa: Njama za maadui za kutaka Iran itengwe zimegonga mwamba. Katika siku za karibuni wafanya fujo na waibua ghasia katika walikusanyika katika mitaa ya baadhi ya miji ya Iran na kuanza kuharibu mali za umma kwa kuchochewa  na vyombo vya habari vya nchi za Magharibi na…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
jcnsengiyumva · 6 years
Text
#VOA: Iran yazituhumu nchi za Magharibi kwa kuchochea maadamano
https://goo.gl/ksEdcM #Kenya #Tanzania
0 notes