Tumgik
#Matukio ya Dunia
magaratimes · 2 years
Text
#VOA. | Wadau wa mazingira wadadisi usalama wa nguo za mitumba kwa mazingira
#VOA. | Wadau wa mazingira wadadisi usalama wa nguo za mitumba kwa mazingira
Wanamazingira wadai kuwa nguo za mitumba zinachangia kuongeza tatizo la taka na baadhi ya watu wanahoji iwapo nchi za Magharibi na Asia zinazo safirisha mitumba kwenda nchi za Afrika wanatumia fursa hiyo kugeuza bara hilo ni jaa la kutupa uchafu. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA Swahili.
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
serengeti-dc · 2 years
Photo
Tumblr media
KUELEKEA siku ya Kimataifa ya Mtoto wa kike Oktoba 11, 2022 Wasichana waliokimbia ukeketaji na ndoa za utotoni wanaopatiwa hifadhi katika kituo cha 'Nyumba Salama' Kilichopo Kiabakari Wilayani Butiama na 'Hope Mugumu' Wilayani Serengeti Mkoani Mara Wamejianda Kuipokea Siku Ya Mtoto wa Kike Dunia Kwa Kufanya Mdahalo na kukumbushiana Juu ya Haki zao PICHA: Matukio Mbalimbali Katik Mdahalo Huo. https://www.instagram.com/p/Cji224vtmEb/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mairanews · 2 years
Photo
Tumblr media
Kuna wakati unaweza ukahisi ni kama mungu hakuitaji kabisa dunian pake.lakin Amin kuwa mungu huyo huyo anaweza kukutendea miujiza ambayo ikakufanya usiamin kama upo kwenye Dunia ya watu ambao nao wanaitaji msaada......... Tembelea channel ya mairatv upate story na MATUKIO ya DUNIANI. https://www.instagram.com/p/CinBzrdoy0G/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
sfaburundi · 2 years
Text
Tumblr media
#ParsToday. | Kiongozi Muadhamu: Matukio ya dunia yanadhihirisha haja ya Iran na Russia kushirikiana zaidi https://sw.magaratimes.com/2022/07/21/parstoday-kiongozi-muadhamu-matukio-ya-dunia-yanadhihirisha-haja-ya-iran-na-russia-kushirikiana-zaidi/?utm_source=dlvr.it&utm_medium=tumblr
0 notes
jitambueforumstv · 3 years
Photo
Tumblr media
#TECHLIFE JANA Siku ya Alhamis kampuni Maarufu ya Facebook , ilitangaza mabadiliko ya jina ili kuweza kukidhi maitaji ya kampuni hiyo kujikita katika ulimwengu wa Sayansi ya kufikirika. Wakati wa kutakagaza mabadiliko hayo, mumiliki wa kampuni hiyo #markzuckerberg aliweka wazi ya kwamba kwa sasa #Facebook itajulikana kama #Meta ambayo itakuwa ni kampuni mama wa makampuni mbali mbali ikiwepo #Instagram, #WhatsApp n.k . Hii ni kufuatia maamzi yao ya kutaka kujikita kwenye uvumbuzi wa kitechnology nje ya mitandao ya kijamii. Wakati mabadiliko haya yakitokea Tayari Mark Zuckerberg , siku kadhaa zilizopita alitangaza kuingiza sokoni Miwani ya #RayBan ambayo hiko Sokoni na bei yake halisi ni dollar za kimarekani $299 ambayo ni zaidi ya Laki Tano za Kitanzania. Chakushangaza katika miwani hii ni kwamba.. Inao uwezo wa kurecord video takribani 30, kupiga picha takribani 500, kupiga simu au kerecord kile unachokiona mbele ya macho yako na kukihusisha na simu yako. Hii miwani ni smart-glass ambayo inafanya kazi sambamba na Simu yako , na hii inakuhepusha kushika simu yako unapofanya shughuli yako , Miwani hii ya #RayBan ina camera, kitufe cha kuwasha na kuzima, speaker ambayo pamoja na yote ukuwezesha kusikiliza mziki na kushare experience ya kile unachokiona. Ukitembelea kwenye kurasa ya mumiliki huyu ya @zuck tayari Amerusha matukio ambayo yanaelezea ufanyaji kazi wa miwani hii. Kiufupi tukae tukijua #DuniaInaendakasi. Tukiwa tunakula umbea hapa nchini kwa wenzetu Dunia wanaichukulia kiutofauti, tushirikishane katika ulimwengu wa kibunifu. Endelea kufuatilia vipindi vyetu kupitia YouTube channel yetu. #jitambueforumstv @rayban @zuck #AlwaysImJitambueforums (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CVmsSjsr3L0/?utm_medium=tumblr
0 notes
sariaisrael · 4 years
Text
SOKA LA WANAWAKE LIMEKUWA TANZANIA
SOKA LA WANAWAKE LIMEKUWA TANZANIA
DUNIA IKISHEREHEKEA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI Machi 8 kila mwaka kiulimwengu huwa ni maadhimisho ya kimataifa ya siku ya wanawake duniani. Siku hii huadhimishwa kwa kufanywa matukio mbalimbali yenye lengo la kuonyesha nafasi ya mwanamke duniani kwa muktadha wa mwaka huo. Mwaka huu halikadhalika kumefanyika maadhimisho kwa staili yake na kila mahala kumekuwa na jumbe zake kwa mujibu wa taratibu za…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
imungy-blog · 4 years
Photo
Tumblr media
TBT 1999 Erith, Kent. Maisha ni pamoja na kumbukizi ya matukio yaliyobadilisha mwelekeo wa uzoefu wa maisha yangu duniani. Kila tukio katika maisha hunifunza jambo fulani. Mafunzo mengine hukubadilisha kabisa mwelekeo wa maisha yako. Unatakiwa kutambua kuwa kila jambo hutokea kwa sababu fulani, na ni muhimu kuchukulia kila jambo kama shule na kujifunza sababu ya tukio husika. Matukio ya ugonjwa wa corona umeifanya dunia kubadilika na kufanya mambo ambayo hakuna aliyetegemea. Nani alifikiri kuna siku ndege zote za usafiri wa abiria duniani zingelala chini badala ya kuwa angani na abiria wakisafiri kutoka pembe moja ya dunia kwenda ingine? Nani alijua ugonjwa unaweza kusambaa dunia nzima na kutisha wanadamu kiasi hiki? Nani alifahamu kuna siku watu watafungiwa/watajifungia ndani bila kutoka kwa wiki kadhaa? Nani alitarajia hata nchi zinazoitwa Ulimwengu wa Kwanza au nchi zilizoendelea zingepata shida kiasi cha kupoteza maelfu ya raia wake? Ni wakati wa kujifunza na kutafakari tukio la maambukizi ya corona kwa dunia linatufundisha nini. Nimetafakari na kujiuliza sana, hivi kama sabuni na maji vinaua virusi vya corona tunaponawa mikono, au tukitumia sanitizer wanakufa, kweli hadi sasa hakuna “sabuni fulani” ya kusukutua au kumeza ili kuwaua wanapofika kooni au kwenye mapafu? Naamini kuwa hili, pamoja na utaalamu wote walionao wanadamu, ipo haja kumuomba Mungu aingilie kati na kutunusuru. Tangu nimezaliwa, na nimesimuliwa na wakubwa zangu, haijawahi kutokea tukio la ugonjwa kama huu. Kama lipo tukumbushane. Tusikilize ushauri wa wataalamu wa afya, tusafishe mikono. Tusishike midomo, pua au macho. Tuvae barakoa, tuepuke misongamano, tukae nyumbani kama hatuna ulazima wa kutoka. Tupunguze safari zisizo za lazima. Tule vyakula vyenye afya na virutubisho muhimu kama matunda nk. Lakini tusali tukiomba na kukesha pia ili Mungu atunusuru na #covid19 #kaanyumbani #vaabarakoa #vaabarakoasafi #nawamikonokwasabuni mara kwa mara na maji yanayotiririka #epukamisongamano tumia #vitaminc #staysafe #stayhomestaysafe #covid19tzrealities https://www.instagram.com/p/B_BrMmanZ_G/?igshid=95ck1j9v4oxh
0 notes
enockmaregesi · 5 years
Photo
Tumblr media
Historia ya dunia hii haina ushahidi wa kweli kuhusiana na matukio ya Kibiblia. Historia inaamini kama wengi tunavyoamini. https://www.instagram.com/p/B2ruYzfnZBD/?igshid=14kt85ere9gfw
0 notes
soudybrown · 6 years
Photo
Tumblr media
TAMKO: Ma #Shilawadu Dunia Nzima Nawaasa Msifukue Makaburi Ya Shemela, Naomba Mumuache @mcpilipili Muacheniiiii Kila Mwanadamu Ana Mapito Yake.... Na Hatuwezi kubadili Matukio yalikwishapita . Msiendelee Kusambaza picha za Zamani za Shemela akiwa na Ex Wake bwana Herman... Bali msambaze zile picha mpya za Sasa hivi Akiwa na Mc Wa Taifa 🇹🇿 . . . Comment Fupi Fupi . . #SoudyBrown . Usisahau Kucheza @tatumzuka Na Jumamosi Hii kuna Milioni 1 Inatolewa kwa watu Watano Fanya Kama unalipia Bili Namba za kampuni ni 555111 Utaingiza namba zako Tatu za Bahati Ikifuatiwa na Neno “Ubuyu” https://www.instagram.com/p/BsaUDCchGkn/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1a5wgaqbg4r18
0 notes
magaratimes · 2 years
Text
#VOA. | Hatua ya Rais wa Kenya Ruto kuondoa marufuku ya GMO yaleta hisia mseto
#VOA. | Hatua ya Rais wa Kenya Ruto kuondoa marufuku ya GMO yaleta hisia mseto
Hatua ya serikali ya Kenya kuondoa marufuku ya bidhaa za GMO inaendelea kuleta hisia mseto baadhi ya wananchi wakisema kuwa GMO haijaweza kuthibitishwa kuwa na manufaa kwa nchi na afya ya wananchi, wakitaka utafiti zaidi ufanyike ili kuhakikisha usalama wake. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA Swahili.
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
Text
Chimbuko la dharau na chuki za Waingereza kwa Ashley Cole 
Wakati akikipiga na Chelsea ya Uingereza, Ashley Cole alikuwa mmoja wa walinzi bora dunia nzima.
Unapomtaja miongoni mwa wachezaji shupavu sana wa asili ya Kiingereza wala hujakosea.
Lakini nje ya uwanja, Cole alionekana kuchemsha kutokana na sarakasi sufufu na utovu wa nidhamu jambo lililopelekea watu wengi kuchukizwa naye.
Yafuatayo ni matukio matatu yaliyoibua chuki waliyonayo waingereza wengi…
View On WordPress
0 notes
Āi bó lā bìnglì de jīzēng jīntiān réng zài jìxù, gāngguǒ mínzhǔ gònghéguó (DRC) de wèishēng bù zài běi jī wǔ shěng hé yī tú lǐ shěng bàofāle 15 qǐ xīn bìnglì hé 14 qǐ sǐwáng bìnglì. 4 Yuè shì zhǎng dá 9 gè yuè de bàofā zhōng zuì zhìmìng de yīgè yuè, qízhōng chōngchìzhe zhēnduì huíyīng gōngzuò zhě de bàolì xíngwéi yǐjí shèqū chéngyuán yǔ wèishēng guānyuán zhī jiān de bù hé. Jīnnián 4 yuè,Katwa hé Butembo(mùqián de bìngdú rèdiǎn) fāshēng de liǎng cì xíjí yánzhòng zǔ'àile yìqíng jiāncè, jiàngdīle gāi dìqū línchuáng yīshēng dí shìqì. 4 Yuè zǒngjì:406 Lì,308 lì sǐwáng jīntiān de bìnglì zǒngshù zēngjiā dào 1,495 lì, qízhōng 1,429 lì quèzhěn,66 lì kěnéng. Yǐ yǒu 984 rén sǐwáng,306 lì yísì bìnglì réng zài diàochá zhōng. Zài jīntiān jìlù de sǐwáng rénshù zhōng, yǒu liù rén shì shèqū sǐwáng, zhè zēngjiāle chuánbò de fēngxiǎn. Gāngguǒ mínzhǔ gònghéguó guānyuán zài 4 yuèfèn quèrènle 308 rén sǐwáng. Gēnjù měiguó jíbìng kòngzhì hé yùfáng zhōngxīn (CDC) de shùjù,4 yuèfèn jìlù de 406 lì bìnglì - rúguǒ dāndú kǎolǜ - jiāng gòuchéng lìshǐ shàng dì sān dà āi bó lā bìngdú bàofā, jǐn cì yú 2014 nián zhì 2016 nián de xīfēi yìqíng (28,652 lì) wūgāndá 2000 nián bàofā yìqíng (425 lì). Mùqián, mùqián bàofā de yìqíng shì shìjiè shàng dì èr dà bàofā, zì 1976 nián gāi bìng bàofā yǐlái,DRC páimíng dì 10. Jīntiān gāngguǒ mínzhǔ gònghéguó biǎoshì, mò kè gōngsī de rVSV-ZEBOV jiēzhǒng yìmiáo de rénshù réng zài jìxù zēngjiā, dádào 108,905 rén, qízhōng bāokuò kǎtè wǎ de jìn 30,000 rén. Shàng gè yuè fābù de shìjiè wèishēng zǔzhī (WHO) chūbù shùjù xiǎnshì gāi yìmiáo duì gāi bìngdú dí yǒu xiàolǜ wèi 97.55%. ----- L'afflux de cas d'Ebola s'est poursuivi aujourd'hui, le ministère de la Santé de la République démocratique du Congo (RDC) ayant enregistré 15 nouveaux cas et 14 décès dans une épidémie dans les provinces du Nord-Kivu et de l'Ituri. Avril a été le mois le plus meurtrier de la flambée qui dure depuis neuf mois. Elle a été marquée par des actes de violence à l'encontre des travailleurs de l'intervention et par des dissensions entre des membres de la communauté et des responsables de la santé. En avril, deux attaques à Katwa et à Butembo (points chauds du virus) ont considérablement stoppé la surveillance des épidémies et nui au moral des cliniciens de la région. Total avril: 406 cas, 308 décès Aujourd'hui, le nombre de cas s'élève à 1 495, dont 1 429 sont confirmés et 66 sont probables. Il y a eu 984 décès et 306 cas suspects sont toujours sous enquête. Parmi les décès enregistrés aujourd'hui, six étaient des décès dans la communauté, ce qui augmente le risque de transmission. Les responsables de la RDC ont confirmé 308 décès rien qu'en avril. Selon les données des centres américains de contrôle et de prévention des maladies (CDC), les 406 cas enregistrés en avril constitueraient la troisième épidémie d'Ebola la plus importante de l'histoire, derrière l'épidémie en Afrique de l'Ouest de 2014 à 2016 (28 652 cas). et une épidémie de 2000 en Ouganda (425 cas). Dans l'état actuel des choses, l'épidémie actuelle est la deuxième en importance au monde et la 10ème en RDC depuis 1976, année de la première constatation de la maladie. Aujourd'hui, la RDC a annoncé la poursuite de la vaccination avec le virus rVSV-ZEBOV de Merck, touchant 108 905 personnes, dont près de 30 000 à Katwa. Les données préliminaires de l'Organisation mondiale de la santé (OMS) publiées le mois dernier montrent que le vaccin est efficace à 97,55% contre le virus. ----- Kuongezeka kwa matukio ya Ebola iliendelea leo, na huduma ya afya katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inarekodi kesi mpya 15 na vifo 14 wakati wa kuzuka kwa Kaskazini Kivu na mikoa ya Ituri. Aprili ilikuwa mwezi uliopotea zaidi wa mzunguko wa miezi 9, ambao umejaa vurugu dhidi ya wafanyakazi wa majibu na kutofautiana kati ya wanajamii na viongozi wa afya. Mnamo Aprili, mashambulizi mawili huko Katwa na Butembo (matangazo ya sasa ya virusi vya ukimwi) yaliyotokana na ufuatiliaji wa kuzuka na kupungua kwa kliniki ya kliniki. Aprili jumla: kesi 406, vifo 308 Matukio ya leo huleta jumla ya kuzuka kwa 1,495, ambayo 1,429 imethibitishwa na 66 yanawezekana. Kulikuwa na vifo vya 984, na kesi 306 za watuhumiwa bado ziko chini ya uchunguzi. Miongoni mwa mauti yaliyoandikwa leo, sita ni vifo vya jamii, ambayo huongeza hatari ya uhamisho. Maofisa wa DRC walithibitisha vifo vya 308 Aprili pekee. Kulingana na Takwimu za Marekani za Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC), kesi 406 zilizoandikwa mwezi Aprili-ikiwa zinazingatiwa wenyewe-zinaweza kuenea kwa kuzuka kwa Ebola ya tatu katika historia, nyuma ya kuzuka kwa Afrika Magharibi mwaka 2014 kupitia 2016 (kesi 28,652) na kuzuka mwaka 2000 nchini Uganda (kesi 425). Kama inasimama, kuzuka kwa sasa ni ukubwa wa pili wa dunia, na 10 ya DRC tangu 1976, wakati ugonjwa huo ulikuwa umeandikwa kwanza. Leo DRC imesema chanjo na RVSV-ZEBOV ya Merck inaendelea, na kufikia watu 108,905, ikiwa ni pamoja na karibu 30,000 huko Katwa. Takwimu za awali kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyotolewa mwezi uliopita kuonyesha chanjo ni 97.55% ya ufanisi dhidi ya virusi. ----- Jiǎngxiàng zhǐ zài jiākuài fǎnyìng jīntiān,Paul G. Allen jiātíng jījīn huì jiāng shìjiè wèishēng zǔzhī, hóng shízì huì hé liánhéguó értóng jījīn huì mìngmíng wèi āi bó lā yìngduì jiāsùqì tiǎozhàn sài de jiēshōu zhě, wèi zhǐ zài xùnsù jiéshù zhècì yìqíng de xiàngmù tígōng zījīn, gēnjù Paul G. Allen de xīnwén gǎo. 2014 Nián,Paul G. Allen shì xīfēi āi bó lā yìngduì zhōng zuìdà de sīrén juānzhù zhě, chéngnuò tóurù 1 yì měiyuán yòng yú kòngzhì gāi jíbìng de chuánbò. Jīntiān xuānbù de sān gè xiàngmù dì zījīn zǒng'é wèi 240 wàn měiyuán. Hóng shízì huì xiàngmù jiāng gēnzōng xiǎngyìng gōngzuò zhě de shèqū shùjù, ér shì wèi zǔzhī de xiàngmù zhǐ zài péixùn gāngguǒ yīxué shēng hé qīngnián lǐngxiù guānyú āi bó lā bìngdú. Zhè bǐ zèng kuǎn shǐ értóng jījīn huì nénggòu jiànlì yīgè xīn de duǎnxìn xìtǒng. “Liánhéguó értóng jījīn huì hé hézuò huǒbàn jiāng nénggòu tōngguò U-Report dòngyuán yǒuxiào de shèqū cānyù, zhè shì yīgè miǎnfèi de duǎnxìn shèjiāo xiāo xí gōngjù, yǔnxǔ shèqū chéngyuán dà shēng shuō chū bìng yìngduì jǐnjí de jǐnjí wèntí. Zhè zhǒng yǒu yǐngxiǎng lì de huǒbàn guānxì jiāng jìxù wǎnjiù shēngmìng, zhīchí gèng jiànkāng liánhéguó értóng jījīn huì de qíhuò,“liánhéguó értóng jījīn huì měiguó zǒngcái jiān shǒuxí zhíxíng guān kǎ lǐ ěr·sī tè ēn zài xīnwén fābù huì shàng shuō. ---- Le prix vise à accélérer la réponse Aujourd'hui, la Fondation de la famille Paul G. Allen a désigné l'OMS, la Croix-Rouge et l'UNICEF comme bénéficiaires du Défi des accélérateurs de réponse à Ebola, finançant des projets visant à mettre rapidement fin à cette épidémie, selon un communiqué de presse de Paul G. Allen. En 2014, Paul G. Allen était le plus important donateur privé en faveur de la riposte au virus Ebola en Afrique de l'Ouest, engageant 100 millions de dollars des États-Unis pour limiter la propagation de la maladie. Le financement des trois projets annoncés aujourd'hui s'élève à 2,4 millions de dollars. Le projet de la Croix-Rouge suivra les données de la communauté pour les agents d’intervention, tandis que le projet de l’OMS vise à former des étudiants en médecine et des responsables de la jeunesse congolais à la maladie à virus Ebola. La subvention permet à l'UNICEF d'établir un nouveau système de messagerie texte. "L'UNICEF et ses partenaires seront en mesure de mobiliser un engagement communautaire efficace grâce à U-Report, un outil de messagerie sociale SMS gratuit qui permet aux membres de la communauté de s'exprimer et de réagir face aux problèmes urgents. Ce partenariat percutant continuera de sauver des vies et d'améliorer la santé. Caryl M. Stern, président et directeur général de UNICEF USA, dans un communiqué de presse. ----- Tuzo inalenga kuharakisha majibu Leo, Foundation G. Allen Family Foundation imeitwa WHO, Msalaba Mwekundu, na UNICEF kama wapokeaji wa Ebola Response Accelerator Challenge, miradi ya fedha ambayo ina lengo la kukomesha kuzuka kwa haraka haraka, kulingana na taarifa ya Paul G. Allen. Mwaka 2014, Paul G. Allen alikuwa mchango mkubwa zaidi wa binafsi kwa majibu ya Afrika Magharibi ya Ebola, akifanya dola milioni 100 ili kuenea kwa ugonjwa huo. Fedha kwa ajili ya miradi mitatu iliyotangaza leo ni jumla ya dola milioni 2.4. Mradi wa Msalaba Mwekundu utafuatilia data za jamii kwa wafanyakazi wa majibu, wakati mradi wa WHO unalenga kutoa mafunzo kwa wanafunzi wa matibabu wa Kongo na vijana kuhusu Ebola. Ruzuku inaruhusu UNICEF kuanzisha mfumo mpya wa ujumbe wa maandishi. "UNICEF na washirika wataweza kuhamasisha ushirikiano wa jamii kwa njia ya U-Ripoti, chombo cha ujumbe wa kijamii cha SMS ambacho huwawezesha washiriki wa jumuiya kuzungumza na kushirikiana na masuala muhimu ya dharura. Pamoja, ushirikiano huu wenye athari utaendelea kuokoa maisha na kusaidia afya. hatimaye katika DRC, "alisema Caryl M. Stern, rais na Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF USA, katika kuchapishwa kwa vyombo vya habari.
Center For Infectious Disease  Research & Policy
Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media
0 notes
kataarushwatz · 6 years
Photo
Tumblr media
HABARI KUTOKA SRI LANKA "Sri Lanka imehesabiwa kama taifa la mchezo wa kriketi lililoharibika sana na shirika la uongozi wa dunia", waziri wa michezo wa nchi alisema. Halmashauri ya Kimataifa ya kriketi inahisi "utawala wa kriketi wa Sri Lanka umeharibika kutoka juu hadi chini", Harin Fernando alisema, akiongeza kuwa ameonyeshwa ripoti ya siri juu ya jambo hilo katika mkutano wa Dubai. Matukio ya kashfa yamepiga chama cha kriketi Sri Lank katika miaka ya hivi karibuni ikiwa ni pamoja na mzozo wa kutengeneza mechi iliyofunuliwa katika operesheni ya kupiga marufuku iliyofanyika kwa waraka wa televisheni. Kitengo cha kupambana na rushwa cha ICC kimeshughulikia mara kwa mara kesi katika taifa la kisiwa hicho. #srilanka #icc #cricket #thilanga #sumathipala https://www.instagram.com/p/BsEH8fGh_XN/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1xvydf3qo3dff
0 notes
mazallaposts · 6 years
Link
Matangazo ya Kombe la Dunia kurushwa kwa Kiswahili Yaongeza Channel maalum ya amsha-amsha ya Kombe la Dunia Sasa mteja kutazama DStv popote alipo kutumia App ya DStv Now. Dar es Salaam Jumanne Aprili 24 2018: Katika kuelekea msimu wa kombe la Dunia 2018 Kampuni ya MultiChoice Tanzania kupitia kingamuzi chake cha DStv imezindua kampeni mpya ifahamikayo kamaDStv ni moto! Mteja wa DStv sasa anaweza kujiunga na huduma iitwayo DStv Now na kutazama vipindi vya DStv wakati wowote mahali popote ikiwa ni pamoja na kupata fursa ya kuunganisha vifaa vitano (5) zaidi ikiwemo simu ya kiganjani Tablet Laptop au Desktop pamoja na Runinga. Hii inamaanisha watu wa tano (5) tofauti wanaweza kutazama huduma ya DStv kupitia vifaa vitano (5) tofauti kwa wakati mmoja na kwa akaunti moja tu ya malipo ya mwezi! Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaa Jana Meneja Masoko wa MultiChoice Tanzania Alpha Mria alisema Wakati tunaelekea kwenye mashindano makubwa kabisa ya soka Duniani yaani Kombe la Dunia la FIFA tunampa fursa mteja kutazama huduma ya DStv kwenye vifaa hadi vitano kwa wakati mmoja. Hii itawaondolea wateja wetu usumbufu na sintofahamu hususani pale watu wengi wanapotaka kutazama vitu tofauti wakati wowote mahala popote kwa wakati mmoja Aliongezea kusema Tumekuwa tukiboresha huduma zetu kila uchao hususan kuongeza maudhui na pia kuwarahisishia wateja wetu utazamaji wa vipindi mbalimbali tena kwa kiwango cha hali ya juu kabisa alisema Alpha na kuongeza kuwa App hiyo ya DStv Now inapatikana kwa wateja wa vifurushi vyote. Alpha amesema kwa kuzingatia uzito wa michuano ya Kombe la dunia mwaka huu DStv imejipanga kuhakikisha kuwa watanzania wanapata fursa ya kuona mechi zote zikiwa katika mfumo wa HD na pia kwa bei nafuu sana na kwa jinsi watakavyo wateja. Kwanza tunakupa fursa ya kutazama kombe la Dunia popote ulipo iwe ni kwenye laptop tablet simu au kwenye runinga yako; ni chaguo lako na ndiyo sababu tunasema Burudika popote ulipo na DStv..DStv ni moto! Pia amebainisha kuwa DStv itakuwa ikirusha matangazo ya michuano hiyo kwa lugha ya kiswahili kwa kuwatumia watangazaji nguli wa michezo hapa nchini. Amesema kuwa kumekuwa na maombi mengi sana kutoka kwa wateja kutaka matangazo hayo yarushwe kwa kiswahili hivyo DStv imetimiza matakwa ya wateja wake na sasa itarusha matangazo hayo kwa Kiswahili. Kujiunga na huduma yaDStv Now mteja anapaswa kupakua App ya DStv Now kupitia Simu yake ya mkononi au Tablet ama Laptop na Desktop ataingia DStv.com kisha kufuata maelekezo na kisha kujisajili kwa kuweka taarifa zake muhimu ikiwemo email (barua pepe) namba ya simu pamoja na Smartcard number ya DStv. Baada ya hapo mteja anaweza kufurahia huduma ya DStv wakati wowote mahali popote. Huduma hii inapatikana kwenye vifurushi vyetu vyote vya DStv. Amewataka wateja wa DStv na watanzania kwa ujumla kukaa mkao wa kula kwani kuna mambo makubwa sana kutoka DStv msimu huu wa kombe la Dunia. Huu ni mwanzo tu wa moto wa Kombe la Dunia siku chache zijazo tutasikia makubwa zaidi kutoka DStv kuhusu mashindano haya Kama hiyo haitoshi kuanzia April 18 mwaka huu DStv iliongeza chanel maalum DStv 214 inayopatikana kwenye vifurushi vyote ambayo ni mahususi kwa amsha-amsha za kombe la Dunia. Channel hii huelezea historia na matukio muhimu ya Michuano hiyo na pia kuonyesha mechi kadhaa za michuano iliyopita bila kusahau makala maalum mahojiano na wadau na wataalamu mbalimbali wa soka na matukio yote yaliyotikisa michuano hiyo kwa miaka iliyopita. Zaidi ya hayo DStv inaendelea kukupa maudhui moto moto hasa kipindi hiki cha kulekea msimu wa Kombe la Dunia kwani utashuhudia fainali za UEFA champions League Fainali za Europa League Fainali za FA Cup Na mwisho wa msimu wa Premier League na Laliga bila kusahau Filamu na Tamthilia kali za kusisimua za ndani na nje ya nchi WWE Mashindano ya Mieleka vipindi vya mapishi watoto na vingine vingi Hakika ni DStv NI MOTOOO!!
0 notes
jewajua1 · 7 years
Text
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Kama taarifa hizi za gazeti la uwazi ni za kweli basi huyu denti feki ni tapeli la mwaka ambaye inasadikiwa anamiliki majina kama manne ikianza na la Felister halafu Halima hamad, Halima Humudi, Leila na Laylat
Kama Kapuya katembea naye basi kaingizwa mjini na kingi hii ni kubwa sana
Hebu Fuatilia Mwenyewe Sinema ya Felister au Halima wa Kapuya
NB Bofya VIDEO hapo juu umsikie mwenyewe Felsiter akibishana na waandishi wa Habari
Kuhusu ukweli wa skendo hiyo, vyombo vya sheria vitazungumza lakini gazeti Uwazii limezungumza  naye  na  hizi  ni  dondoo fupi  za  mazungumzo  yao.Kwa  mujibu  wa  gazeti  la  Uwazi, denti   huyo amekuwa akijulikana kama Felista, ila anatambulika pia kama Halima Hamad, hivi karibuni aliamua kujiita Leylat na wakati mwingine Leila.Jina ambalo alijitambulisha kwa  Kapuya  ni Halima Hamad, upande mwingine hujitambulisha kama Halima Humudi, yaani huchezea ubini.
Felister katika mojawapo ya mahojiano na waandishi wa GPL
Sinema Yenyewe ya Felsiter au halima Hamad Aliianza Kucheza Hivi
Mwezi mmoja kabla ya sakata la Kapuya halijapamba moto, Felista alizungumza na waandishi wake  wawili kwa nyakati tofauti, akielezea uhusiano wake na mheshimiwa huyo ambaye kwa sasa ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Miundombinu.
Felista alimweleza mwandishi wa kwanza ambaye ni mwanamke: “Nina stori kuhusu Kapuya, yule ni mtu wangu, ila subiri kidogo nitakupa stori kamili.” 
Siku mbili baadaye, Felista alimfuata mwandishi wa pili ambaye ni wa kiume, akamwambia: “Kapuya ananitongoza, ngoja mambo yakae sawa nitakwambia.” Hata hivyo, waandishi hao  waliamua  kumpotezea.
Baada ya sakata hilo kuibuka kwa nguvu, kasi na ari, waandishi hao walimpigia simu Felista kumuuliza ilikuwaje akalifikisha suala mbali zaidi, huku akijisema yeye ni mwanafunzi wakati siyo kweli?
Felista alimjibu mwandishi wa kwanza: “Huyo aliyepeleka hizo habari ni Leylat. Mimi Kapuya nafahamiana naye kwa sababu nilishiriki vikao vya usuluhishi kati ya Leylat na Kapuya. Walimalizana vizuri. Mimi kama shahidi nilipata shilingi 3,000,000.
“Siku ya kwanza nilipewa shilingi 2,300,000, baadaye alinimalizia shilingi 700,000, tukawa tumemalizana.”
Mwandishi wa pili alipomuuliza, alijibu: “Jamani siyo mimi, yule ni Leila. Yule mtoto sijui kafikishaje hayo mambo huko, ila mimi najua kila kitu.”
Baadaye Felista alimpigia simu yule mwandishi wa kiume, akamwambia: “Kama utanihakikishia pesa ya usafiri nakuja, nitaeleza kila kitu kwa sababu mimi ndiye shahidi muhimu.”Mwandishi wetu akambana Felista: “Mimi bado nahisi huyo Leylat unayemtaja ndiye wewe mwenyewe ila unaficha.” Felista akajibu: “Siyo mimi, halafu sasa hivi sijui mahali alipo ila najua yote kuhusu Leylat na Kapuya.” Mazungumzo hayo yalifika mwisho, huku Felista akiahidi kufika ofisi za Global Publishers Ltd, Bamaga, Mwenge lakini baada ya kukata simu, dakika tatu baadaye alimpigia simu mwandishi wetu, safari hii akiwa na maelezo haya:“Nimeongea na Leylat. Amefichwa Maili Moja, Kibaha, Pwani, hakuna watu wanaoruhusiwa kumuona zaidi ya wanaharakati ambao wamejitolea kumsaidia kisheria.” Felista alipotakiwa na mwandishi wetu atoe namba ya Leylat, alijibu: “Namba hapana ila mkitaka nitawapeleka mkamuone. Yule mtoto anasikitisha sana, unajua sasa hivi anatumia dawa.”
Felister katika mojawapo ya mahojiano na waandishi wa GPL
Akazua Vioja Kwenye Ofisi za Global Publisher
Jumamosi iliyopita, Gazeti la Risasi likiwa lina uhakika wa asilimia zaidi ya 95 kwamba Felista ndiye anayecheza sinema yote ya Kapuya, akibadilisha majina na kujiita mwanafunzi, lilitoa picha yake kisha likaiziba ili kumtega kisha likamtambulisha kama shahidi muhimu kama alivyojiita.
Asubuhi mapema siku hiyo, Felista alimpigia simu mwandishi wetu akilalamika: “Mmeniharibia, Kapuya amenipigia simu anatishia kuniua kwa sababu anasema mimi nimejifanya kiherehere kwamba najua kila kitu.” MWANDISHI: Wewe ungekuja ofisini tuongee vizuri. FELISTA: Sawa nakuja ila lazima muangalie jinsi ya kunilinda, maisha yangu yapo hatarini.
Baada ya takriban saa moja, Felista alifika Global Publishers na kusema: “Yaani hatari kweli, Kapuya amekuja nyumbani kwangu, akiwa ameongozana na Leylat. Amesema ataniua kwa sababu mimi ndiye kiherehere nataka kumharibia.” MWANDISHI: Kapuya amekuja nyumbani kwako kivipi? Tena akiwa ameongozana na Leylat, mbona unatuchanganya. FELISTA: Amekuja ndiyo, tena inavyoonekana Leylat mwenyewe sasa hivi yupo pamoja na Kapuya. Ugomvi wao umeisha.
Kapuya anafungua kesi kwa magazeti na mitandao iliyomchafua, Leylat yupo upande wake, mimi nikipingana na Kapuya si nitakufa? MWANDISHI: Hebu Felista usiongee sana, wewe asubuhi uliniambia Kapuya alikupigia simu, sasa hivi unasema alikuja kwako, tukueleweje? FELISTA: Kapuya hakupiga simu, alikuja na Leylat.
MWANDISHI: Inawezekana Kapuya akawa mtoto kiasi hicho? Na kwako alipajuaje? FELISTA: Mimi sijui, ila pale nyumbani aliletwa na Leylat. MWANDISHI: Haya tuambie wewe unatakaje? FELISTA: Nataka pesa ya kodi, nikapange nyumba sehemu nyingine, pale hapanifai tena, nitauawa. Leoleo nataka kuhama.
Gazeti la Uwazi Likaenda Mbele Zaidi
Gazeti hili, lilimuweka ‘pending’ Felista na madai yake kisha likaingia kazini kumtafuta Kapuya, aweze kueleza wasifu wa denti husika.
“Ni mfupi, mwembamba, mweusi, ana macho makubwa, pua kama ya Kitutsi, kichwa kirefu,” alisema Kapuya baada ya kukiri kumtambua msichana huyo anayejiita mwanafunzi. Kwa kuchambua maelezo hayo, jawabu moja kwa moja lilikwenda kwa Felista kwa sababu sifa ambazo zimetajwa zinashabihiana naye kwa asilimia 100.
MWANDISHI: Anaitwa nani? KAPUYA: Halima Hamad. MWANDISHI: Mmejuana kwa muda gani? KAPUYA: Tangu mwaka 2011. MWANDISHI: Katika kipindi hicho, ulikutana naye mara ngapi?
KAPUYA: Kama mara nne, alikuja kuomba msaada akalipe ada Tumaini University. Nilimpa shilingi 3,000,000. Awamu ya kwanza nilimpa shilingi 2,300,000, mara ya pili shilingi 700,000. Nilimsaidia akasome, sikujua kama ni tapeli. (Rejea maelezo ya Felista kwamba alipewa shilingi 3,000,000 kwa awamu mbili. Zilianza shilingi 2,300,000, baadaye zikafuata shilingi 700,000). MWANDISHI: Ulijuaje kama ni tapeli?
KAPUYA: Kwanza niligundua hasomi na kuna watu alikuwa anashirikiana nao kunizunguka ili wanitapeli. Nikagundua pia kumbe hata Mkurugenzi wa CRDB, Dk. Charles Kimei, alimtapeli kwa njia hizohizo. MWANDISHI: Alikwambia anaishi wapi? KAPUYA: Yule mtoto muongomuongo, kuna kipindi aliniambia anaishi Mbagala, baadaye akasema Gongo la Mboto, hapa juzujuzi, alisema amehamia jirani na Shoppers Plaza.
(Felista aliwaeleza waandishi wetu kuwa anaishi Gongo la Mboto). MWANDISHI: Namba yake ya simu ni ipi? KAPUYA: 0713 7…20…0 (tarakimu mbili zimefichwa). Lengo la kuuliza namba ni kutaka kujua namba aliyonayo Kapuya ili kuifananisha na ile ya Felista ambayo ipo kwa waandishi wetu.
Namba hiyo ndiyo hasa ya Felista, hivyo kuzidi kujidhihirisha kuwa ndiye anayecheza sinema yote. MWANDISHI: Pamoja na utapeli wake, vipi kuhusu tuhuma za kumbaka na kumuambukiza Ukimwi? KAPUYA: Jamani sijawahi kubaka katika maisha yangu yote. Sina Ukimwi. Huyo mtoto anatumiwa na watu kunichafua, maana kuna SMS alinitumia akaniambia atahakikisha sipati cheo chochote.
Waandishi Wakarudi Tena Kwa Felsiter
MWANDISHI: Kapuya ameshatufungua na tunajua wewe ndiye mhusika, FELISTA: Siyo kweli, Kapuya anataka tu kutengeneza mambo ili ajisafishe. MWANDISHI: Kapuya ametaja namba yako kuwa wewe ndiye mhusika. Na kwa nini ataje namba yako? FELISTA: Labda kapata namba yangu kupitia kwa Leylat. MWANDISHI: Kapuya amesema wewe unaitwa Halima Hamad na ndivyo ulivyojitambulisha kwake.
FELISTA: Siyo kweli, mimi naitwa Felista. Hilo jina la Halima silitambui. (Papo hapo, mwandishi wetu aliiangalia namba hiyo usajili wake wa laini na Tigopesa na kubaini kwamba jina lililosajiliwa ni Halima Hamad). MWANDISHI: Mbona simu yako, laini na Tigopesa, imesajiliwa kwa jina la Halima Hamad ambalo limetajwa na mheshimiwa? Halima ni nani sasa? FELISTA: Turudi kwenye madai ya msingi, msitake kunibadilishia mada?
MWANDISHI: Wewe ndiye Halima, ndiye Felista, ndiye Leylat na Leila. Wewe ndiye unamchezea Kapuya, siyo mwanafunzi, ni tapeli. FELISTA: Najua mnataka kunichezea mchezo. Mimi siyo Halima. MWANDISHI: Mbona namba yako umesajili Halima? FELISTA: Nimesema mimi siyo Halima.
Historia  ya  huyu binti   kwa  mujibu  wa  gazeti  la  Uwazi:
Felista wa Kapuya ndiye yule binti aliyewahi kumtapeli mke wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma kupitia Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (Wama).
Msichana huyo, alidai yeye ni yatima, akiishi kwa tabu sana, Mama Salma akaingia mkenge na kumpa kiwanja Mbagala. Baadaye ilipokuja kujulikana, alishtakiwa kwa utapeli, akapelekwa mahabusu kwenye Gereza la Segerea, Dar es Salaam.
Felista alikiri kuwekwa Segerea kisha akajitetea: “Kuna watu walitaka kunigombanisha na Mama Salma lakini mbona nilitoka?”
Felista, alishawahi kumuibia marehemu Steven Kanumba kamera, alipokwenda ofisini kwake, akijidai ni yatima na ana kipaji cha kuigiza, alipopata mwanya tu, alimliza supastaa huyo ambaye alifariki dunia, Aprili 7, mwaka jana.
Ukiachana na hilo la Kimei ambalo limetajwa na Kapuya, yapo matukio mengine ambayo Felista alishayafanya, ikiwemo kudanganya anasoma alipiwe ada, vitabu, madaftari na sare za shule, kumbe ni ‘gia’ yake ya kupata fedha kwa njia ya udanganyifu.
Uchunguzi wa gazeti  hilo  unalo jawabu kuwa kama kuna uongo ambao jamii haipaswi kubisa kukubaliana nao ni huu kwamba Felista ana umri wa miaka 16 na anasoma sekondari.
Gazeti hilo limebaini kuwa Felista ni mama wa mtoto mmoja na lilipombana alikiri: “Ni kweli nina mtoto mmoja, nina umri wa miaka 21.”  
Source: Global publisher, gazeti la Uwazi toleo la tarehe 19/11/2013
VIDEO NA PICHA ZA MWANAFUNZI TAPELI WA KAPUYA HIZI HAPA Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni Kama taarifa hizi za gazeti la uwazi ni za kweli basi huyu denti feki ni tapeli la mwaka ambaye inasadikiwa anamiliki majina kama manne ikianza na la Felister halafu Halima hamad, Halima Humudi, Leila na Laylat…
0 notes
Text
INSTAGRAM;- “Dunia pamekuwa sio mahali salama pa kuishi” – Professor Jay
INSTAGRAM;- “Dunia pamekuwa sio mahali salama pa kuishi” – Professor Jay
Siku chache baada tukio la watu wasiofahamika kumteka rapa Roma Mkatoliki na wenzake watatu kisha kuwapeleka mahali kusikojulikana na baadaye kuonekana, tukio hilo limezidi kuongeza hofu na mashaka kwa watu mbalimbili. April 11, 2017 kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Mikumi na staa wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule ‘Professor Jay’ ameonesha wasiwasi wake juu ya matukio hayo……
View On WordPress
0 notes