Tumgik
#uchafu
magaratimes · 2 years
Text
#VOA. | Wadau wa mazingira wadadisi usalama wa nguo za mitumba kwa mazingira
#VOA. | Wadau wa mazingira wadadisi usalama wa nguo za mitumba kwa mazingira
Wanamazingira wadai kuwa nguo za mitumba zinachangia kuongeza tatizo la taka na baadhi ya watu wanahoji iwapo nchi za Magharibi na Asia zinazo safirisha mitumba kwenda nchi za Afrika wanatumia fursa hiyo kugeuza bara hilo ni jaa la kutupa uchafu. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA Swahili.
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
tibaherbs · 1 year
Text
Kwa nini uchawi umekithiri?
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
joackagrovet · 2 months
Text
Tumblr media
WATER PIPE DREDGING AND CLEANING | MASHINE YA KUSAFISHIA PIPE | MASHINE YA KUSAFISHA PVC PIPE ZA KUKU
Bei ni 180,000Tsh
Call/Text/ WhatsApp: 0714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Dredge device nini?
Baada ya kutumia pipe za maji ya kunywa ya kuku kwa muda mrefu, pipe huwa zinaziba na kutengeneza uchafu ndani.
Dredging device hutumika kusafishia na kuzibua pipe na nipo chafu zinazotumika kupitisha maji ya kunywa kuku.
Jinsi ya kutumia.
Dredge device imeundwa na chuma maalumu kinachoweza kunyoosha, kukunjika na kuhifadhika kwa urahisi.
Jinsi ya kutumia ni rahisi, unainyoosha hii waya kisha ingiza kwenye PVC pipe za maji ya kunywa kuku, baada ya hapo valisha brush na anza kufisha pipe kwa kupeleka mbele na kurudisha nyuma hiyo brush.
Faidi ya dredge device
Pipe za maji ya kuku zikikaa kwa muda mrefu huwa zinatengeneza uchafu, ambao ni hatari sana kwa kuku na husabisha magonjwa pamoja hasara kubwa kwa wafugaji.
Kwa kutumia dredge device unaweza kusafisha uchafu wote na kuzibua nipo zote zilizoziba.
Kinga huwa ni bora kuliko tiba, hivyo ni bora kuchukua hatua mapema ya kusafisha pipe za kuku wako kabla hazijaleta madhara kwa kuku na kukusababishia kuingia gharama za matibabu.
#WaterPipeDredgingandcleaning #mashineyakusafishiapipe #mashineyakusafishiamabombayacage #kusafishapvczacage #kusafishapipezacage #dredgedevice #dredgemashine
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
0714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
#joackcompany #joackvetshop #mifugo #kilimo #kukuwamayai #cagezakuku #ufugajiwakuku #poultrycage #mayaiyakisasa #poultry #kuku #kuroiler #mbuzi #daressalaam #morogoro #bata #kuchi #ufugaji #kilimoufugaji #dodoma #tanzania #tanzania🇹🇿
JOACK COMPANY LTD| DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackcompanytz · 3 months
Text
Tumblr media
DAWA YA MAFUA KWAJILI YA KUKU | RESPOSTIM - INAPATIAKANA JOACK COMPANY LTD.
Jina la dawa: RESPOSTIM
Ujazo: 1000mls (1Lita) Bei 16,999Tsh
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Hii ni dawa inaitwa RESPOSTIM ni kiboko ya mafua kwa kuku na ndege aina zote mfano broiler, kuku wa mayai, chotara, kanga, njiwa, nk
Hii dawa nzuri Sana ya mafua, ukimpa kuku au ndege inaenda kulainisha kulainisha kamasi au ute wote kwenye njia/mfumo wa hewa.
FAHAMU: katika ugonjwa wa mafua kinacho kinacho waua kuku ni ule ute unaoziba njia ya hewa na kusababisha kuku kushindwa kupumua.
Lakini dawa nyingi za mafua huwa zinafanya Kazi kwa kuua visababishi vya ugonjwa yaani bakteria lakini haziwez kulainisha na kutoa kamasi linalo ziba mfumo wa hewa ambalo ndio chanzo kikuu cha shida na vifo kwa kuku, RESPOSTIM ndio dawa pekee inayoweza kulainisha na kutoa kamasi kwenye njia ya hewa na kuondoa tatizo kwa kuku wako.
NB: Sio kila mafua yanasabishwa na vijidudu vya magonjwa, mengine husababishwa na uchafu bandani ( amonium gesi inayozalishwa na kinyesi cha kuku, inatoa chocking smell inayosabisha irritation (muwasho wa Koo), vumbi, mzunguko wa hewa mdogo, kuku wengi katika eneo dogo, etc.
#respostim #dawayamafuakwakuku #dawazakuku #vifarangabora #kukuwakisasa #nyamayakuku #vifarangabora #vifarangavyakuku #vifarangavyakuchi #vifarangavyabroiler #vifarangavyakukuwanyama #dawayamafua #mafuayakuku
JOACK Company ndio wasambazaji wa kuu wa hii dawa, kwa wateja wa mikoani tunatuma pia, wasiliana nasi.
Office zetu zipo @TegetaWazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #kuroiler #mbwa #daressalaam #dodoma #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza #arusha #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
rwizakakiza · 1 year
Text
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
(Share &. Subscribe)
TUMAINI JIPYA
NDANI YA YESU KRISTO.
Ni
KUPATA HURUMA ZA MUNGU
......Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu.....
......Omb 3:22‭-‬23....
Kwenye maisha yetu ya kila siku, MUNGU amekuwa mwenye huruma sana kuliko tunavyofikiri. Unaweza Usione huruma zake lakini tafakari kwanza;
1. Mambo mangapi MUNGU amekufundisha au amesema na wewe umeyafanyia kazi?
2. Madaftari, audio na vitabu vingapi unavyo vinavyomuhusu MUNGU na huvisomi?
3. Umesikia mahubiri kila wakati, lakini Kwanini huchukuhi hatua za kubadilika?
4. Je watu wangapi wanalia au wanateseka kwa ajili yako kuwatenda?
5. Wewe uliyekata tamaa, Mara ngapi MUNGU amesema na wewe kwamba "USIOGOPE, MIMI NIPO PAMOJA NA WEWE NIKUOKOE" nawe ukakubali kutii sauti yake?
Ni huruma na rehema za MUNGU hatuangamii, lakini tusiendelee kukaidi, kuna kikomo cha huruma ya MUNGU, maisha yako yatakapotengana na mwili utaenda kutoa hesabu ya yale uliyoambiwa na MUNGU, uliyejifunza mengi utadaiwa mengi.
Ingekuwa heri usikie sauti ya MUNGU kwa makini na ufanye maamuzi ya kubadilisha maisha yako kumwelekea MUNGU.
Huruma ya MUNGU ipo kwa kila mtu, kwako wewe uliyekata tamaa na maisha, maisha umeyaona magumu, MUNGU anakuona unapopitia kubali kujikabidhi kwake atakuhurumia, hata kama ni muda mrefu umepita, bado MUNGU atakuhurumia tu.
Wewe unayeona ni mdhambi kuliko wote, Leo tambua ipo huruma ya MUNGU, MUNGU anasamehe bila kujalisha wingi wa dhambi ulizonazo, Ukikubali kumgeukia atakusamehe, Rudi ipo huruma ya MUNGU sasa.
Rafiki yangu Kimbia dhambi, Kimbia makato wa tamaa, Kimbia maneno na taratibu za ulimwengu, (Kimbia zinaa, Kimbia kiburi na majivuno, Kimbia matambiko na Ibada za giza, Kimbia maseng'enyo na Uongo, Kimbia dhuruma na fitina, Kimbia Uchafu wote, ushirikina wote, uchawi na Uganga,.... nk)
Bali
IKIMBILIE HURUMA YA MUNGU inayopatikana kwa njia ya imani kupitia YESU KRISTO, mwamini leo nawe utarehemiwa, Amina.
Rejea
It is because of the LORD’s lovingkindnesses that we are not consumed, Because His [tender] compassions never fail. They are new every morning; Great and beyond measure is Your faithfulness.
.....Lamentations 3:22‭-‬23.....
@2023 the greatest Glory for me.
1 note · View note
mateoshija · 1 year
Text
Vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi
Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu; kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya Mungu. Katika hayo ninyi nanyi mlitembea zamani, mlipoishi katika hayo. Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote, hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu. Wakolosai 3:5-8
View On WordPress
0 notes
joackcompany · 1 year
Text
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @jactechnologies
Hizi grooming 🧤 brush zina vipira vidogo kama vya brush vinavyoweza kumsugua mnyama wako (mbwa/paka) vizur, vinatoa ukoko wote wa uchafu na kuweka ngozi safi.
Tunauza vifaa vingi Sana kwajili ya mbwa na paka (Dog and cat accessories) , ukiitaji picha na bei (price list) wasiliana na 0714 63 63 75 watakutumia PDF yenye bei.
NB: JOACK COMPANY ndio sehemu pekee utapa bidhaa hizi kwajili ya mbwa na paka kwa garamanafuu.
#DogCollar #brushzambwa #DogLeashes #DogChain #DogCage #dogbowl #dogball #groomingglove #gloveszambwa #gloominggloves #dogcollers #petproducts #dogproducts #catsprocts #mikandayambwa #vifaavyambwa #mipirayambwa #gloominggloves
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: htt
#joackcompany #joackvetcenter #mifugotz #mifugo #wauzajiwambwa #kilimo #dogs #dogshop #wauzajiwavifaavyambwa #tanzania #tanzania🇹🇿 #dodoma
Welcome Mifugo Tz Visit to Like follow our social networks
1. Facebook Page Mifugo Tz Page
link: https://www.facebook.com/MifugoTz/
2. Instagram mifugo_tz
link: https://www.instagram.com/mifugo_tz
3. Twitter Mifugo TZ:
link: https://twitter.com/MifugoTz?s=09
4. Linkedin Mifugo Tz
link: https://www.linkedin.com/in/mifugo-tz-50798216b
5. You Tube Mifugo Tz Online Tv
link: https://youtu.be/xOZqX0VNcZc
6. tumblr mifugotz
link: https://mifugotz.tumblr.com
7. Google+ Mifugo Tz
link:https://plus.google.com/115072283190826326981
8.Pinterest Mifugo Tz
link: https://pin.it/fahluqf3aeoim2
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
Tumblr media
0 notes
mwanagenzi · 1 year
Text
Tamaa Ya Uongozi
Nikaeje mchangani, panapoishi siafu? Makazi ya uchafuni, sitaki pakwa uchafu, Sitakaa aridhinji, nisije ipata hofu, Muda si muda nimudu, niunde ngazi nipande. Juu nipande kwa ngazi, watumwa niwaongoze, Niwaoneshe nyingi kazi, wajibu watekeleze, Nikawakamate wezi, wao hao niwabeze, Muda si muda nimudu, niunde ngazi nipande. Uongozi tachukua, kote niweze sifika, Mengi chifu nitajua, nao wengi…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drkangile · 2 years
Photo
Tumblr media
*BAADHI YA DALILI ZA PID* ⏩Kutokwa na uchafu mzito ukeni ⏩Uchafu ukeni wa rangi nyeupe au njano ⏩Uke kutoa harufu mbaya ⏩Kuwashwa sehemu za siri ⏩maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu ⏩Uke kuwa mlaini sana ⏩Maumivu wakati wa tendo la ndoa ⏩Kuvurugikwa kwa hedhi ⏩Kutokwa na majimaji ukeni kupita kiasi ⏩Maumivu wakati wa kukojoa ⏩Homa/uchovu na kuchoka ⏩kizungu zungu na n.k Ongea na DAKTARI leo wa.me/255717174151 Dawa ya P.I.D SUGU NI 120000 tu, na dawa ya UTI na Fungus ni 45000 , hii ina muunganiko wa dawa mbili na inatumika kwa siku 10 tuu, unatumiwa popote ulipo. Epuka ugumba wa P.I.D Delivery Buree mkoani na Hapa Dar es salaam (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CoL7MQ0oq2L/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
dontheidiot · 2 years
Text
Uchafu
0 notes
rollfare · 2 years
Photo
Tumblr media
200 EPISODES! Can you believe it?! Man how time flies! Listen as Rainer continues his love troubles, and the party is gifted an abandoned dwarven tavern for their deeds in Uchafu. #rollfare #rollfarepodcast #dnd #d20 #dndpodcast #dungeonsanddragons #dungeonsanddragonspodcast #dice #fantasy #fantasypodcast #redsands #theredsands #ttrpg https://www.instagram.com/p/ClREZdZr5tm/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
afyaboratz · 2 years
Text
Tumblr media
0 notes
joackagrovet · 2 months
Text
Tumblr media
TUANUZA BLUSH MAALUMU KWAJILI YA KUONDOA UCHAFU KWENYE MATUNDU YA SINK (CLEANING BLUSH )
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75 / 0692430263
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo ...
#mashineyachakulachasamaki #samaki #mashineyachakulachambwa #chakulachasamaki #chakulachambwa #dogpellets #fishpellets #chakulachamifugo #pellets #chakulachapellets #faidazapellets #chakulachakuku #chakulachasungura #chakulachamifugo #kutengenezachakulachamifugo #mashineyasamaki
Office zetu zipo @tegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #daressalaam #dodoma #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
tibaherbs · 3 years
Text
Kujua chanzo cha ugonjwa ni muhimu katika tiba
Kujua chanzo cha ugonjwa ni muhimu katika tiba
Tiba yoyote sahihi uhitaji kujua chanzo cha ugonjwa! Sababu ni kuwezesha daktari kujua tiba gani akupe. Unaweza kujua ugonjwa kwa dalili na kupimwa ikawa ni jibu la nini hasa? Ukijisikia unachoka mara kwa mara, kichwa kukuuma, joints kuumwa na homa , utakimbilia kupima malaria au typhoid au UTI. Ukipatikana na malaria kinachofuata ni tiba ya malaria au tiba ya ulichokuta mwilini. Kuna magonjwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
joackcompanytz · 3 months
Text
TUNAUZA BATA BUKINI WAKUBWA KABISA WAPO MADUME NA MAJIKE YANAYO TAGA
JOACK COMPANY WE ARE SELLING ADULT GEESE DUCK
Bei ni 140,000Tsh Tu
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
FAHAMU KIDOGO KUHUSU BATA BUKINI
Bata Bukini ni ndege ambao asili yao ni India na Japan.
Hii ni jamii ya ndege wafugwao lakini tofauti kubwa ya bata wa kawaida wao wana asili ya usafi, hivyo hawapendi uchafu na kamwe hawali mizoga.
Tofauti na ndege wengine au bata wengine wa kawaida, mfugaji wa bata bukini anaweza kupata kipato kikubwa kwa haraka na kwa gharama ndogo ukilinganisha na bata wengine.
Kuna aina mbili ya bata bukini ambao ni weupe na wenye mchanganyiko wa rangi, hali kadhalika hutofautiana katika utagaji wa mayai.
#bata #bataweupe #mayaiyabukini #mayaiyabata #batawakienyeji #batabukini #batawanauzwa #wauzajiwabata #wafugajiwabata #mallard #vifarangawabata #batawanauzwa #batawakizungu #geeseduck #batawakizungu #batapekin #chakulachabata #ufugajiwabata #batawakisasa
Kuhusu kampuni yetu follow @joackcompany
Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz
Kuhusu afya follow @afyakiganjani
Kuhusu madawa ya mifugo follow @joackagrovet
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa.
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompay #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania #mwanza #arusha #mbeya #dodoma #tanzania🇹🇿 #tanzania
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
Tumblr media
0 notes
masindecharles2022 · 3 years
Text
AMBAYE ANAAMINI NA KUTUBU KATIKA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO NI LAZIMA ABATIZWE KWA KUZAMISHWA NDANI YA MAJI KATIKA JINA LA BABA, NA JINA LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU;KWA AJILI YA ONDOLEO LA DHAMBI NA KUPOKEA KIPAWA CHA ROHO MTAKATIFU NA KWA AJILI YA WOKOVU NA UKOMBOZI.
FUNGU KUU : WAEBRANIA 9:26
26. Kadhaika KRISTO Naye,Akiisha KUTOLEWA SADAKA Mara Moja AZICHUKUE DHAMBI za Watu Wengi ;ATATOKEA MARA YA PILI, PASIPO DHAMBI, KWA HAO WAMTAZAMIAO KWA WOKOVU.
UTANGULIZI
I. UBATIZO
Ni KANUNI na PROGRAMU na UTARATIBU wa KUZAMISHWA NDANI YA MAJI Kwa Ajili ya USAJILI na UTAKASO na ONDOLEO LA DHAMBI Kwa Waumini Wapya na Kisha Kuzaliwa Mara ya Pili na kuwa KIUMBE KIPYA na kisha kutimiza HAKI yote Hipatikanayo kwa IMANI(NEEMA na REHEMA zake MTAKATIFU BWANA MUNGU Kupitia MTAKATIFU KRISTO YESU) Katika KANISA TAKATIFU la MTAKATIFU BWANA YESU KRISTO, PROGRAMU Hii ilianzishwa na MTAKATIFU KRISTO YESU na itaendelea kutendeka hadi MTAKATIFU BWANA YESU KRISTO Arudipo Mara ya Pili.
MATHAYO 28:18-20.
18.YESU akaja kwao,Akasema nao,akawaambia ,NIMEPEWA MAMLAKA YOTE MBINGUNI NA DUNIANI. 19 Basi ENENDENI ,MKAWAFANYE MATAIFA YOTE KUWA WANAFUNZI, MKIWABATIZA KWA JINA LA BABA, NA JINA LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU. 20 Na Kuwafundisha Kuyashika Yote Niliyowaamuru Ninyi, Na tazama ,MIMI NIPO PAMOJA NANYI SIKU ZOTE, HATA UKAMILIFU WA DAHARI.UBATIZO ni Neno la Kigiriki linalo Maanisha KUZAMA au KUZAMISHWA NDANI YA MAJI. Neno UBATIZO limetumika katika Biblia Takatifu, katika Agano la Kale na Agano Jipya kwa kumaanisha KUZAMISHWA na Neno sawa nalo SAFISHA ,KUOSHA au Osha.
UBATIZO UTAKASA NA KUONDOA DHAMBI.
WAEBRANIA 9:13,14,22,28.
13. Kwa Maana, Ikiwa damu ya mbuzi na mafahali na majivu ya ndama ya ng'ombe Waliyonyunyiziwa WENYE UCHAFU HUTAKASA HATA KUUSAFISHA MWILI; 14 .BASI SI ZAIDI DAMU YAKE KRISTO, Ambaye kwamba kwa ROHO WA MILELE ALIJITOA NAFSI YAKE KWA MUNGU kuwa SADAKA Isiyo na Mawaa,ITAWASAFISHA DHAMIRI ZENU NA MATENDO MAFU,MPATE KUMWABUDU MUNGU ALIYE HAI? 22.Na katika TORATI KARIBU vitu vyote HUSAFISHWA KWA DAMU,NA PASIPO KUMWAGA DAMU HAKUNA ONDOLEO.
UBATIZO NI KUZALIWA MARA YA PILI KWA MAJI NA KWA ROHO.
YOHANA 3:3-8
3. YESU Akajibu, Akamwambia, AMIN, AMIN, NAKUAMBIA ,MTU ASIPOZALIWA MARA YA PILI,HAWEZI KUUONA UFALME WA MUNGU.
4.Nikodemo akamwambia;Awezaje Mtu KUZALIWA,Akiwa Mzee?Awezaje Kuingia Tumboni Mwa Mamaye Mara ya Pili Akazaliwa?
5.YESU Akajibu, AMIN,AMIN, Nakuambia;Mtu Asipozaliwa kwa MAJI na kwa ROHO HAWEZI KUINGIA UFALME WA MUNGU.
6.KILICHO ZALIWA KWA MWILI NI MWILI;NA KILICHOZALIWA KWA ROHO NI ROHO.
7.USISTAAJABU KWA KUWA NILIKUAMBIA,HAMNA BUDI KUZALIWA MARA YA PILI.
8.UPEPO UVUMA UPENDAKO,NA SAUTI YAKE WAISIKIA ,LAKINI HUJUI UNAKO TOKA WALA UNAKO KWENDA;KADHALIKA NA HALI YAKE KILA MTU ALIYEZALIWA KWA ROHO.
2 WAKORINTHO 5:17
17. Hata Imekuwa ,Mtu akiwa NDANI YA KRISTO amekuwa KIUMBE KIPYA;ya kale yamepita na tazama yamekuwa Mapya.
II. DHAMBI
1. Ni KUKIUKA au KUVUNJA au Kufanya UHALIFU dhidi ya SHERIA TAKATIFU YA MTAKATIFU BWANA MUNGU, MUUMBAJI na MKOMBOZI. Kwa KUTOKUJALI au KUTOHESHIMU SHERIA TAKATIFU (AMRI KUMI TAKATIFU).
2. Ni tendo lolote linalotendeka au Kutendwa LISILO LA HAKI.
WARUMI 4:15
15. Kwa Sababu SHERIA NDIYO IFANYAO HASIRA;MAANA PASIPO KUWAPO SHERIA, HAPANA KOSA.
1YOHANA 5:17
17. Kila lisilo la HAKI ni DHAMBI, NA DHAMBI Iko Isiyo ya MAUTI.
WARUMI 3:23
23.Kwa Sababu Wote Wamefanya DHAMBI, na KUPUNGUKIWA NA UTUKUFU WA MUNGU.
III. IMANI
Ni KUSADIKI KIKAMILIFU,Msingi wa Imani Uko juu ya WELEWA au HOFU YA KIROHO badala ya USHAIDI.
WAEBRANIA 11:1-3,7,29.
1. BASI IMANI NI KUWA NA HAKIKA YA MAMBO YATARAJIWAYO, NI BAYANA YA MAMBO YASIYOONEKANA.
2.Maana kwa hiyo Wazee Wetu Walishuhudiwa. 3. Kwa IMANI TWAFAHAMU KUWA ULIMWENGU ULIUMBWA KWA NENO la MUNGU, HATA VITU VINAVYOONEKANA HAVIKUFANYIKA KWA VITU VILIVYO DHAHIRI.
7. Kwa IMANI Nuhu akiisha KUONYWA NA MUNGU katika Habari za MAMBO YASIYOONEKANA bado,Kwa JINSI ALIVYOMCHA MUNGU ALIUNDA SAFINA ,APATE KUOKOA NYUMBA YAKE. Na hivyo AKAUHUKUMU MAKOSA ULIMWENGU,akawa Mrithi wa HAKI IPATIKANAYO KWA IMANI.
29. Kwa IMANI WAKAPITA KATI YA BAHARI YA SHAMU,KAMA Katika Nchi KAVU; Wamisri WALIPO JARIBU KUFANYA VIVYO WAKATOSHWA.
PASIPO IMANI HAIWEZEKANI KUMPENDEZA MTAKATIFU BWANA MUNGU.
WAEBRANIA 11:6
6.Lakini PASIPO IMANI HAIWEZEKANI KUMPENDEZA;Kwa Maana Mtu Amwendeaye MUNGU LAZIMA AAMINI KWAMBA YEYE YUKO,NA KWAMBA HUWAPA THAWABU WALE WAMTAFUTAO.
2 WAKORINTHO 5:7
7.Maana TWAENENDA KWA IMANI, SI KWA KUONA.
AMBAYE ANAAMINI KATIKA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO ,ATO POTEA, BALI ATAPATA UZIMA WA MILELE.
YOHANA 3:15-16.
15.Ili kila Mtu AAMINIYE AWE NA UZIMA WA MILELE katika YEYE.
16.Kwa Maana Jinsi Hii MUNGU ALIUPENDA ULIMWENGU ,HATA AKAMTOA MWANAWE PEKEE ,ILI KILA MTU AMWAMINIYE ASIPOTEE bali awe na UZIMA WA MILELE .
IV . REHEMA
Ni HURUMA au MSAMAHA ambao UTHIBITISHWA Kuelekea kwa Mtu Ambaye Yuko ndani y Kupewa ADHABU au KUUMIZWA kwa Ajili ya KOSA au Makosa Fulani.
Kupitia DHABIHU YENYE THAMANI ya Mauti ya MSALABA KALVARI ya MTAKATIFU BWANA YESU KRISTO NJIA Iko WAZI KWA ZOEZI LA REHEMA KUELEKEA Watu Wote REHEMA na KWELI UKUTANA PAMOJA. REHEMA Pia ni NEEMA ya MKRISTO.
KUTOKA 20:6
6. Nami NAWAREHEMU MAELFU ELFU WANIPENDAO, NA KUZISHIKA AMRI ZANGU.
MATHAYO 5:7
7. Heri Wenye REHEMA Maana HAO WATAPATA REHEMA.
MATHAYO 18:33-35
33. Nawe,Je ! Haikukupasa KUMREHEMU Mjoli wako,Kama Mimi NILIVYOKUREHEMU Wewe?
34. Bwana wake akaghadhibika ,Akampeleka kwa Watesaji,hata atakapoilipa deni ile yote.
35. Ndivyo na BABA yangu wa MBINGUNI atakavyowatenda Ninyi,MSIPOSAMEHE KWA MIOYO YENU KILA MTU NDUGU YAKE.
V. NEEMA (UZURI)
Katika IMANI ya MKRISTO, Ni Fadhili(MSAMAHA),Ukarimu, huru na Isiyo na KIPIMO za MTAKATIFU BWANA MUNGU, Ambayo Imeonyweshwa Katika WOKOVU au WOKOZI wa Wenye DHAMBI, Na Kutoa BARAKA.Karama zinazotolewa na MTAKATIFU BWANA MUNGU.
MWANZO 6:8
8.Lakini Nuhu akapata NEEMA MACHONI Pa BWANA.
1 WAKORINTHO 15:10
10.Lakini kwa NEEMA ya MUNGU Nimekuwa Hivi Nilivyo;Na NEEMA yake Ilivyo kwangu ILIKUWA SI BURE,BALI NALIZIDI SANA KUFANYA KAZI KUPITA WAO WOTE;WALA SI MIMI BALI NI NEEMA YA MUNGU PAMOJA NAMI.
2 WAKORINTHO 8:7
7. Lakini Kama Mlivyo na WINGI WA MAMBO YOTE;IMANI,Na USEMI,na ELIMU, na BIDII Yote,Na UPENDO wenu kwetu sisi;Basi Vivyo hivyo MPATE WINGI WA NEEMA HII PIA.
WARUMI 6:14
14. Kwa Maana DHAMBI HAITAWATAWALA NINYI, KWA SABABU HAMWI CHINI YA SHERIA, BALI CHINI YA NEEMA.
SOMO :
UBATIZO WA MAJI NA ROHO MTAKATIFU .
1.NANI ANAYEWEZA KUAMINI NA KUTUBU NA KISHA KUBATIZWA?
Anayeweza KUAMINI na KUTUBU Kisha kufanya Maamuzi binafsi na Kisha KUBATIZWA NI MTU MZIMA TU(BALEHE),Watoto AWAWEZI KUAMINI NA KUTUBU KISHA KUFANYA MAAMUZI BINAFSI YALIYO SAHIHI. Na UBATIZO ni KWAO WAAMINIO na KUTUBU na KISHA KUFANYA MAAMUZI BINAFSI SAHIHI;Na Kisha KUBATIZWA. BIBLIA TAKATIFU AIKUKAA KIMYA KATIKA HILI HIKO WAZI.
MATENDO 5:14
14. WALIOAMINI Wakazidi Kuongezeka kwa BWANA, WENGI, WANAUME na WANAWAKE.
MATENDO 2:41
41. Nao WALIOLIPOKEA NENO LAKE WAKABATIZWA ;Na siku ile Wakaongezeka Watu WAPATA ELFU TATU.
LUKA 13:5
5.NAWAAMBIA ,SIVYO,LAKINI MSIPOTUBU,NINYI NYOTE MTAANGAMIA VIVYO HIVYO.
2. WOKOVU NA WOKOZI NI KWAO WAAMINIO KATIKA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO.
YOHANA 3:16
16. Kwa Maana Jinsi Hii MUNGU ALIUPENDA ULIMWENGU, HATA AKAMTOA MWANAWE PEKEE, ILI KILA MTU AMWAMINIYE ASIPOTEE,BALI AWE NA UZIMA WA MILELE.
MATENDO 5:31
31. Mtu huyo MUNGU AMEMTUKUZA KWA MKONO WAKE WA KUUME AWE MKUU NA MWOKOZI, AWAPE WAISRAELI TOBA na MSAMAHA WA DHAMBI.
YEREMIA 23:6
6. Katika siku zake Yuda ATAOKOLEWA ,na Israeli ATAKAA SALAMA, na JINA lake ATAKALOITIWA ni Hili, BWANA NI HAKI YETU.
3. MITUME WA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO WALIBATIZWA KWA ROHO MTAKATIFU NA MOTO.
MATHAYO 3:11
11. KWELI Mimi Nawabatiza kwa MAJI KWA AJILI YA TOBA;BALI YEYE AJAYE NYUMA YANGU ANA NGUVU KULIKO MIMI, WALA SISTAHILI HATA KUVICHUKUA VIATU VYAKE,YEYE AKAWABATIZA KWA ROHO MTAKATIFU NA MOTO.
MATENDO 2:1-4
1. Hata ilipotimia Siku ya PENTEKOSTE Walikuwako wote Mahali Pamoja.
2. Kukaja GHAFULA TOKA MBINGUNI UVUMI WA UPEPO WA NGUVU UKIENDA KASI,UKAIJAZA NYUMBA YOTE WALIOKUWA WAMEKETI.
3. KUKAWATOKEA NDIMI ZILIZO GAWANYIKANA,KAMA NDIMI ZA MOTO ULIOWAKALIA KILA MMOJA WAO.
4. WOTE WAKAJAZWA ROHO MTAKATIFU, WAKAANZA KUSEMA KWA LUGHA NYINGINE,KAMA ROHO ALIVYOWAJALIA KUTAMKA.
4. MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO ALIBATIZWAJE?
MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO Ndiye MWANZILISHI na MWASISI wa IMANI ya KIKISTO na KANISA TAKATIFU Hili la KIKISTO ULIMWENGU KOTE na Yeye Ndiye atakaye IKAMILISHA KAZI YOTE.Kwa Sababu PASIPO YEYE KUWA NASI ATUWEZI KWENDA.
Hivyo basi YEYE NI KIELELEZO CHA IMANI YA KIKISTO, Na Tunapaswa KUFUATA NYAYO ZAKE,Ili Kupata MAFANIKIO Katika KANISA LAKE TAKATIFU.
YEYE ALIBATIZWA SI KWA SABABU YA TOBA AU DHAMBI LA ,YEYE AKUTENDA DHAMBI,NA ATO TENDA DHAMBI, KWA SABABU YEYE NI MUNGU PAMOJA NASI(IMANUELI ).
MATHAYO 1:23
23. TAZAMA ,Bikira atachukua Mimba ,Naye ATAZAA MWANA;Nao WATAMWITA JINA LAKE IMANUELI; YAANI ,MUNGU PAMOJA NASI.
Hivyo Basi YEYE ALIBATIZWA KUWA KIELELEZO na KUITIMIZA HAKI YOTE TU.
MATHAYO 3:13,16
13. Wakati huo YESU Akaja kutoka Galilaya Mpaka JORDAN kwa Yohana ili ABATIZWE.
16. Naye YESU alipokwisha KUBATIZWA MARA AKAPANDA KUTOKA MAJINI;NA TAZAMA ,MBINGU ZIKA MFUNUKIA,AKAMWONA ROHO WA MUNGU AKISHUKA KAMA HUA,AKIJA JUU YAKE.
5.UBATIZO WA MAJI NA ROHO MTAKATIFU NI KUTIMIZA HAKI YOTE.
MATHAYO 3:14-15
14. Lakini Yohana alitaka Kumzuia,Akisema Mimi NAHITAJI KUBATIZWA NA WEWE, NAWE WAJA KWANGU.
15. YESU AKAJIBU ,AKAMWAMBIA ,KUBALI HIVI SASA ,Kwa kuwa NDIVYO ITUPASAVYO KUHITIMIZA HAKI YOTE.BASI AKAMKUBALI.
6.MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO ALISEMA NI NANI KUOKOLEWA?
MARKO 16:15,16
15. Akawaambia ENENDENI ULIMWENGUNI MWOTE ,MKAIHUBIRI INJILI KWA KILA KIUMBE.
16. AAMINIYE na KUBATIZWA ATAOKOKA;ASIYEAMINI ATAHUKUMIWA.
7.UBATIZO NI KUZIKWA NA KUFUFULIWA PAMOJA NA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO.
WAKOLOSAI 12:12
12. MKAZIKWA Pamoja naye katika UBATIZO;na katika huo MTAFUNULIWA Pamoja naye,kwa KUZIAMINI NGUVU ZA MUNGU ALIYEMFUFUA KATIKA WAFU.
8. MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO NI ALFA NA OMEGA, MAWAZO NA MWISHO.
UFUNUO 1:8
8. MIMI NI ALFA NA OMEGA, MWANZO NA MWISHO.ASEMA BWANA MUNGU, ALIYEKO NA ALIYEKUWAKO NA ATAKAYEKUJA,MWENYEZI.
9.MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO YU HAI MILELE,NA YEYE PEKEE NDIYE MWENYE FUNGUO ZA MAUTI NA ZA KUZIMU.
UFUNUO 1:18
18.Na Aliye HAI;NAMI NALIKUWA NIMEKUFA ,NA TAZAMA, NI HAI HATA MILELE NA MILELE. NAMI NINA FUNGUO ZA MAUTI NA ZA KUZIMU.
10. WAFUASI WA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO WANAPASWA KUISHIJE?
FUATA NYAYO ZA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO, JIFUNZE KWAKE ,MTAZAME YEYE .
1 YOHANA 2:6
6.YEYE ASEMAYE YA KUWA ANAKAA NDANI YAKE,IMEMPASA KUENENDA MWENYEWE VILEVILE KAMA YEYE ALIVYO ENENDA.
3 notes · View notes