Tumgik
#nchi za Asia
magaratimes · 2 years
Text
#VOA. | Wadau wa mazingira wadadisi usalama wa nguo za mitumba kwa mazingira
#VOA. | Wadau wa mazingira wadadisi usalama wa nguo za mitumba kwa mazingira
Wanamazingira wadai kuwa nguo za mitumba zinachangia kuongeza tatizo la taka na baadhi ya watu wanahoji iwapo nchi za Magharibi na Asia zinazo safirisha mitumba kwenda nchi za Afrika wanatumia fursa hiyo kugeuza bara hilo ni jaa la kutupa uchafu. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA Swahili.
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 6 months
Text
WACHEZAJI WA KIGENI NI TUNU YA KUTANGAZA LIGI
Katika mchezo wowote ule duniani ili ukue ni lazima uwe na mashindano ambayo yapo katika mifumo ya ligi. Ligi yoyote lazima iwe na mchanganyiko wa wachezaji kutoka mataifa mbalimbali duniani. Mchezo wa mpira wa kikapu nchini Marekani una ligi maarufu iitwayo NBA katika kujikuza ligi hiyo imekuwa na mbinu ya kutafuta hadhira ya kimataifa hususani katika nchi za bara la Asia waliamua kutengeneza…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
bluelandland · 4 years
Text
Makocha weusi kupata nafasi EPL, EFL na PFA
Makocha weusi kupata nafasi EPL, EFL na PFA
Tumblr media
Ligi kuu ya Uingereza (EPL) pamoja na kombe la Ligi nchini humo kwa kushirikiana na Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA) wameuweka wazi mpango wao mpya unaotoa nafasi za kufundisha kwa makocha weusi wanaotoka katika bara la Asia na na nchi zingine ambazo hazijapiga hatua kuwa katika soka.
Kocha wa Doncaster Rovers Dorren Moore ambaye ni mshauri maalum wa mipango ya watu weusi Ligi kuu…
View On WordPress
0 notes
enockmaregesi · 6 years
Photo
Tumblr media
Makao Makuu ya Tawi la Kolonia Santita nchini India na nchi zote za Asia na Australia, CS-MUMBAI, yaliyopo Mumbai, Maharashtra, India, linaloongozwa na Sanjay Kanaka Ramachandra (baba wa watoto sita) ‘The Satellite’, lililoko chini ya udhibiti wa Kamishna Meja Jenerali U Nanda wa Asia-Australia. Sanjay Kanaka Ramachandra, ‘The Satellite’, baada ya kutoka Korea ya Kaskazini na Salina Cruz kwa ajili ya kozi maalumu ya ugaidi na kwa ajili ya Kiapo cha Swastika kwa mpangilio huo, alirudi Mumbai kusimamia shughuli za Kolonia Santita za bara la Asia na Australia. Alifanya hivyo kwa uaminifu wa Sheria ya Kitalifa ya Kolonia Santita. Ramachandra, anayeitwa ‘The Satellite’ kwa sababu ya jina lake la mwisho, alipewa pia jukumu la kuyachunga Makao Makuu ya Kanda ya Asia-Australia ya Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya; na kupeleka taarifa yoyote ya kijasusi (inayohusiana na WODEC-Rangoon) Mexico City kwa ajili ya maamuzi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Kolonia Santita, Gortari Manuel. Mojawapo ya operesheni kubwa alizowahi kuzifanya Ramachandra kwa niaba ya Kolonia Santita ni kuingiza nchini India mzigo wa tani 350 za majani ya koka, ijapokuwa tani 37 zilikamatwa na mamlaka za kuzuia madawa ya kulevya za India na za Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya, na kusambaza kilo 560 za kokeini safi (‘pure’) katika nchi zote za Asia na Australia ndani ya siku 14. Ramachandra maana yake ni mwezi. Mwezi ni setilaiti na mwezi unamulika. Ramachandra anaitwa setilaiti kwa sababu ya umuhimu wake katika bara la Asia. Anamulika India na bara zima la Asia, na Australia, kwa niaba ya Kolonia Santita. Ana miaka 44. Ana mke na watoto 6. Ni jambazi aliyekubuhu wa India. Ramachandra alikwenda Korea ya Kaskazini na timu ya watu 70 kutoka Kolonia Santita, akiwemo Kahima Kankiriho wa Uganda na Anatoly Narochnitskaya Belinsky wa Urusi, kujifunza mbinu mbalimbali za ugaidi wa kimadawa (‘narcoterrorism’) na ugaidi wa mstuni (‘jungle warfare’). Soma zaidi hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=2397771810246633&id=100000415120038 #mumbai #india #crackcocaine #cocaine #koloniasantita https://www.instagram.com/p/BvUFM5FHZeu/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=5u914f9q13yi
0 notes
tibaherbs · 5 years
Text
Uchawi kwa sasa umesambaa duniani kiasi kwamba utadhani ndio mila kwa watu, kuanzia Ulaya, Asia hadi Africa. Kulogwa siyo siri tena kwa watu wenye kujua ukubwa wa tatizo hil bali ni jambo la kawaida kama unavyosikia mtu anaumwa malaria.
Nchi za Ulaya walishaanza kuufundisha hadi vyuo vikuu muda mrefu na wengine wanafundisha kwenye mtandao bure popote utakapo kuwa duniani, hatari hii!
Afrika ya kusini walitangaza mwaka juzi na sasa kila chuo kikuu kinatoa digrii ya uchawi, fuatilia utapata uhakika tena alitangaza waziri wa Elimu wa Afrika ya Kusini.
Kutokana na hali hii uku kwetu Afrika wanaficha na kudhuru watu kwa siri kwa kuwaloga na kuwatesa, pia waganga wasio na huruma wanatoza pesa nyingi kwa waliologwa na waganga wengine wanawaongezea uchawi mwingine!
Tiba sahihi ya kuondoa uchawi mwilini na majini si kuchinja wala kafara za mbuzi na wanyama wengine bali ni kumuomba Mungu mmoja wa pekee na kutumia dawa alizoumba Mungu kuondoa uchawi mwilini na kufukuza majini wa aina mbali mbali.
Tumetengeneza dawa kali zifuatazo kutokana na miti pia mimea aliyo umba Mungu mmoja wa pekee.
Kuna dawa za Kunywa ambazo zimesagwa na kuwa unga, kuna dawa za mafuta unajipaka, kuna dawa za kuoga kama sabuni yenye dawa ya kuondoa uchawi na athari zake.
Mawasiliano:+255621870342 WhatsApp pia simu +255762053174, Email: [email protected]
Dawa kali kwa kuondoa uchawi mwilini na kufukuza majini Uchawi kwa sasa umesambaa duniani kiasi kwamba utadhani ndio mila kwa watu, kuanzia Ulaya, Asia hadi Africa.
0 notes
mazallaposts · 6 years
Quote
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha pili cha wadau wa utalii kutoka nchi mbalimbali zinazohusika na tamasha la ‘Urithi wa Utamaduni wa Mabara’ Jijini Dar es Saalam  ........................... Tanzania ni miongoni mwa nchi 54 za bara la Afrika zitakazoshiriki katika tamasha la ‘Urithi wa Utamaduni wa Mabara’ linalotarajiwa kufanyika nchini Ufaransa katika mji wa ‘Cherbourg’ mwezi Julai mwaka huu. Tanzania inashiriki tamasha hilo la kihistoria kwa mara ya kwanza ambapo itapata fursa ya kutangaza utamaduni wake na vivutio vya utalii vya mambo ya kale hivyo kuongeza idadi ya watalii na mapato. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha pili cha wadau wa utalii kutoka nchi mbalimbali zinazohusika na tamasha hilo Jijini Dar es Saalam jana, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, alisema tamasha hilo litatoa fursa pana kwa nchi kutangaza vivutio vyake ikiwemo vile vya Zamadamu. “Kimsingi tamasha hilo linatarajiwa kutoa fursa kwa Tanzania kutangaza vivutio vyake na hivyo kuvutia watalii wengi kuja nchini, kila nchi itapewa banda lake la kuonyesha vivutio vyake , Tanzania naamini inakuwa na vivutio vingi vyenye kupendeza watalii kama vile Zinjathropus, Ngoma za makabila mbalimbali pamoja na nyimbo. “Baada ya tamasha hilo, kutakuwa na ongezeko kubwa la watalii nchini na ninaamini hata zile nchi ambazo hazina rekodi nzuri ya kuja Tanzania kwa wingi  zilizopo Bara la Asia zitaanza kuja,’’. alisema Kigwangla. Alisema tamasha hilo linalotarajiwa kuhusisha takriban nchi zote za bara la Afrika, zaidi limelenga kutangaza tamaduni na vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo katika mataifa yote yatakayoshiriki  huku likitajwa kuwa tamasha bora na kubwa  la utalii pengine kuliko matamasha mengine yote kutokana na kila nchi kujitokeza kuonyesha vivutio vinavyopatikana katika mataifa yao. “Tanzania tunavyo vivutio mbalimbali tunavyotarajia kwenda kuvionyesha katika tamasha hilo, ukiacha vivutio vya mambo kale, tuna bonde la Olduvai Gorge na mengineyo, tunayoamini kuwa  kupitia tamasha hilo tutaweza kuyatangaza na hivyo kuvutia watalii wengi kuja nchini” alisema Dkt. Kigwangalla.  Hata hivyo alisema baada ya kukamilika kwa tamasha hilo, Septemba mwaka huu hapa nchini kutakuwa na tamasha la ‘Urithi wa Mtanzania’ linalotarajiwa kufanyika kwa mara ya kwanza na litakuwa likifanyika kila mwaka kuadhimisha urithi wa Mtanzania. Alisema tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika kwa kipindi cha mwezi mzima, pia litatoa fursa kwa kila wilaya kutangaza vivutio vyake, huku akizitaka kila wilaya kujiandaa na tamasha hilo, litakalotoa fursa pia kwa mikoa na wilaya hizo kukuza utalii wa maeneo yao.  Waziri Kigwangalla akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa mkutano huo.  Kaimu Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, Asngya Bangu akiongoza zoezi la utambulisho.   Baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka nchi mbalimbali barani Afrika.  Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha pili cha wadau wa utalii kutoka nchi mbalimbali zinazohusika na tamasha la ‘Urithi wa Utamaduni wa Mabara’ Jijini Dar es Saalam jana.  Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Prof. Audax mabula akizungumza katika mkutano huo.  Picha ya pamoja ya Waziri Kigwangalla na washiriki wa mkutano huo.  Waziri Kigwangalla akifurahia jambo na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
http://www.mtazamonews.co.tz/2018/04/tanzania-kunadi-vivutio-vya-utalii.html
0 notes
magaratimes · 2 years
Text
#ParsToday. | Raisi: Kulinda mazingira ni jambo la dharura na kipaumbele kisichoepukika
#ParsToday. | Raisi: Kulinda mazingira ni jambo la dharura na kipaumbele kisichoepukika
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika Mkutano wa Mawaziri wa eneo hili kuhusu ushirikiano wa mazingira kwa mustakabali bora kwamba; umuhimu wa mazingira unapasa kuzingatiwa na kwamba kila mmoja anapasa kulinda mazingira mbali na mitazamo ya kawaida, kidiplomasia na kisiasa. Mkutano wa Kikanda wa Mawaziri wa Maizngira wa Nchi za Magharibi mwa Asia umefanyika leo hapa Tehran kwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 3 years
Text
Pep Guardiola kugeuzwa kibonde wikiendi hii?
Pep Guardiola kugeuzwa kibonde wikiendi hii?
LIGI Kuu England itaendelea wikiendi hii baada ya kumalizika ratiba ya mechi za Kimataifa za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2022 huko Qatar barani Asia. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokuwa na mechi katikati ya wiki hii ambako waliizaba mabao 3-2 wageni wao Madagascar. Heko kwa Tanzania kuongoza kundi J ikiwa na pointi 4 lenye timu za DRC,Benin,Madagascar na Tanzania wenyewe. Baada…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
magaratimes · 7 years
Text
#DW: Trump ataka ushirikiano mpya kiuchumi na nchi za APEC
#DW: Trump ataka ushirikiano mpya kiuchumi na nchi za APEC
[ad_1]
Akizungumza katika mkutano huo Trump aliulaumu utawala wa Marekani uliopita  kwa kuruhusu hali hiyo kukuwa na kuendelea ikiwa ni pamoja na baadhi ya mataifa barani Asia yakiongozwa na China kuwa na nguvu zaidi katika soko huru la biashara  na kuua soko la ajira nchini Marekani.
Trump ametolea mfano taifa la China na mengineyo kwa kuingia mikataba ya kibiashara inayolenga kuyanufaisha…
View On WordPress
0 notes
magaratimes · 7 years
Text
#DW: WHO: Hatua nzuri katika kupambana na magonjwa ya kitropiki | Masuala ya Jamii | DW.COM
#DW: WHO: Hatua nzuri katika kupambana na magonjwa ya kitropiki | Masuala ya Jamii | DW.COM
[ad_1]
Ripoti hiyo inayahusu magonjwa 18 yanayotibika kirahisi, ambayo lakini yamekuwa yakiwasumbua watu takribani bilioni moja wa nchi za ukanda wa Tropiki katika mabara ya Afrika, Asia na Amerika Kusini. Magonjwa hayo yanafahamika kama ‘maradhi yaliyosahaulika’ kwa sababu hayapewi umuhimu mkubwa na makampuni ya utafiti, kwa vile hayapo katika nchi tajiri duniani.
Magonjwa hayo ambayo ni pamoja…
View On WordPress
0 notes
tibaherbs · 5 years
Text
Ukiongea uchawi wengi wetu tunaona aliyeongea ni kama mshamba vile! ila tambua kuwa sasa hivi uchawi umeongezeka sana na chanzo ni husuda na tamaa, kuna wanaojifunza kwa sasa imewekwa digrii vyuo vikuu vya Afrika ya kusini kufundisha uchawi na waziri wao wa Elimu alitamka wazi bungeni mwaka juzi!
Ulaya, Amerika na Uingereza muda umepita tangia waanze kutoa digrii za uchawi tena mpaka PHd wanatoa kwa sasa na wengine wanafundisha kwa mtandao tena bure, fuatilia kwa kugoogle neno witch courses, witch degree utashanga kuona vyuo vingi vinafundisha uchawi duniani.
Uchawi pia umesambaa kwa kutumia mtandao yaani internet, kwani wengi wachawi kutoka dunia nzima wameanza kujitangaza kwa internet na unahudumiwa ukiwa mbali mpaka kuloga mtu wanafanya ili mradi upate picha yake na majina yake halisi na wengine wanatoa huduma bure.
Hali si shwari shetani amepata wafuasi wengi na wengine wanajiunga kupitia freemason, WICCA, Satanic Church, nk. yote makundi ya kishirikina na kichawi yanajitangaza kwa nguvu zote!
Baadhi ya wachawi wanaloga kwa siri na hawataki kujulikana yaani hawa ndio wanaoumiza watu miongoni mwa jamii, anaweza akawa jamaa wa karibu au jirani au mfanyakazi mwenzako au mfanyabiashara mwenzako, ila anachofanya ni kukuloga ili uharibikiwe mambo yako na familia yako isambaratike na ushindwe majukumu kwa kuugua magonjwa ya ajabu ajabu.
Ukisha logwa unaweza usitambue ila utaona ni kawaida na maradhi yatakuandama na wewe utaenda hospitali zote mpaka ziishe na utatumia pesa nyingi, kama si wewe atakuwa mtoto au mke au mama yako au baba yako au rafiki yako. Mchawi hana huruma na anafurahi kila akion unateseka kiuchumi, kiafya na kuishilia mpaka unakufa usipokuwa makini.
Ukiwa na pesa utakimbilia hospitali kubwa kubwa na wakati mwingine nchi za nje mara nyingi India, kisha unafia uko uko India, ila siku hizi India wameanza kuwapa semina madaktari wao kuhusu magonjwa ya kimajini na kichawi ili wawe na uelewa wakipokea mgonjwa anayeumwa kichaa kama ni majini au la kabla ya kumpa huduma ziadi.
Nchi zote za Asia kuna elimu kubwa ya kichawi na ukisoma historia utaona wanautumia uchawi sana kiasi kwamba wana uzoefu na elimu hiyo sana, pia Afrika upo mkali ila wanaficha na kufanya siri ila wanaumiza wengi.
Dalili za kulogwa
Kuota ndoto uko sehemu chafu kama chooni au mitaroni au unajisaidia
Kuota nyoka mara kwa mara hasa weusi na mapaka, mbwa
Kuhisi hujipendi na unaona huna maana, woga bila sababu
Kuhisi mwilini kuna vitu vinatembea tembea kama sisimizi
Kuhisi baadhi ya sehemu za mwili zinacheza cheza zenyewe
Kustuka mara kwa mara usingizini hasa ukikaribia kusinzia unatingishika na kustuka
Kuhisi moyo unacheza na kuuma kama kuna sindano
Kuhisi unaitwa ila anayekuita humuoni
Kuota unafanya sex mara kwa mara
Kuharibikiwa kila ulifanyalo hata kama unafuata kanuni za kazi zako
Kuchukiwa na watu wengi bila sababu wazi
Kutotenda na kuwa msemaji tu mpaka unazeeka, kila ukitaka kutenda mipango uankwama na kuacha
Ndoa kuwa kila mara ugomvi tena jambo dogo tu
Kuwa na hasira kila ukifika numbani au kumuona mke wako au mume amakuja
Kutopenda kuoa au kuolewa
Kuchukiwa na bosi bila sababu na kila siku matusi kwako
Kuhisi kila asubuhi umechoka na huna malaria wala typhoid ukipima
Pesa ikiingia na matatizo yanaingia ikiisha yanaisha
Pesa ikiingia inatumika wee mpaka iishe ndo unapata nyingine
Kusoma sana lakini maskini na wala huwezi stuka kuhusu hali yako ila mbishi tu
Kushushwa vyeo kila mara na kupata kashifa usizotarajia
Maradhi yasiyoeleweka wazi na ukitumia dawa nafuu tu
Kukata tamaa na kukosa muelekeo kimaisha ingawa ulikuwa mpambanaji uko nyuma
Kwa wafugaji mifugo inakufa ovyo na kukosa kuzaa na ikizaa maziwa hakuna
Kutopona vidonda au operesheni miaka inapita, hii majini wanakula hapo
Ukila muda mfupi njaa, hii inaweza ikawa familia nzima hawashibi-hii ni majini wanakula mkila
Kukosa choo na tumbo kuhisi vitu vinajiviringisha
Kuhisi mabegani umebeba kitu
Kuona ukungu mara kwa mara na hauna ugonjwa wa macho wala Kisukari
Kuhisi umesimamiwa au mtu anakufuata nyuma na ukiangalia mtu humuoni.
Nyumba yako kuwa na minyato ya kutembea dalini, veranda au vyumbani
Kuchanjwa chale au mikwaruzo kama umekwaruzwa mapajani au sehemu za mwili.
Kuhisi unawashwa ukimaliza kuoga na ukichunguza unakuta mikwaruzo mwilini
Kukosa mimba bila sababu za kisayansi ila tumbo linaumwa mara kwa mara
Kukosa hamu ya sex na kukauka kwa uke hata ukiwa uko hot
Mwanaume kuota anafanya sex mara kwa mara ila nguvu za kiume zinapotea ukiwa na mke wako kitandani
Kupiga miayo kila mara hata bila usingizi wala njaa
Kutoka mimba bila sababu za wazi kiafya, hii ni jini anazitoa wakati mwingine
Kuota unaolewa na kuota una watoto,yote haya ni dalili ya kuolewa na majini yanakuzalisha ila yanavuruga maisha
Kukosa uchumba au kuharibika mambo ya uvhumba
Kuharibika uchumba kila posa ikitolewa, kuchukia wanaume wote
Kuachika na kutelekezwa bila sababu ya msingi, kila ukiolewa ndo hivyo
Kuugua kifafa ukubwani na ukifanya tiba unapata nafuu ila hauponi
Kuhisi mwiba ndani ya unyayo wa miguu yako
Kubadilika ngozi na kuwa yenye kutopendeza wakati uko ilikuwa inavutia sana
Kupata stroke ghafla na ulikuwa huna presha
Kuanguka bafuni au chooni mara kwa mara au kuponea chupu chupu kila mara usianguke bafuni ila wengine hapana
Kila rafiki wa maana hamuwezi kudumu kwa muda hata wa miaka 2 lazima mtengane tu!
Ukipewa mkopo huwezi rejesha na hupati faida na mkopo huo kamwe
Kuhisi vichomi mwilini na kiuno kuumwa sana kila mara
Kama una baadhi ya dalili hizo kama 5 au hata moja kubwa basi jua umelogwa, uchawi si mchezo kwani unaharibu taratibu mwili na maisha yako.
Kuna dawa za kuoga, kujipaka, kunywa na kufukiza kufukuza majini, mapepo na hali ya nguvu ya giza . Hizi dawa zimefanyiwa majaribio kwa watu wengi na kuwatibu maradhi ya kichawi na kuondoa majini na athari za nguvu za giza kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee aliyeumba kila kitu na akakikadiria.
Dawa hizi ni:
Powerful Oil
Powerful soap
Safisha
Mt32
Extra Powerful Oil
Fusho
Clear herbal
Ukitumia 4 kati ya hizo hasa kwa aliye na uchawi mwilini na ndoto za kutisha ataona mabadiliko haraka sana.
Powerful oil
Powerful soap
Mt32
Safisha
Hizi dawa zina nguvu ya kuondoa nguvu za giza na maradhi mengi ukizitumia, unaoga sabuni kisha unajipaka mafuta.
Kunywa MT32 ni dawa za asili zaidi ya 32 zenye kuondoa uchawi mwilini na kusaidia mwili kuwa katika hali nzuri kiafya, pia zinatibu magonjwa mengi unayoyajua na usiyo yajua, kwani dawa 32 za asili zisizo na madhara ni kama viungo tu kwenye maji ya moto au asali si mchezo kitiba.
Wagonjwa wanaozitumia wanatueleza mengi kimatokeo na kujisikia wametua mzigo.
Mawasiliano kwa ushauri na tiba : +255621870342, [email protected]
    Uchawi unatesa wengi Ukiongea uchawi wengi wetu tunaona aliyeongea ni kama mshamba vile! ila tambua kuwa sasa hivi uchawi umeongezeka sana na chanzo ni husuda na tamaa, kuna wanaojifunza kwa sasa imewekwa digrii vyuo vikuu vya Afrika ya kusini kufundisha uchawi na waziri wao wa Elimu alitamka wazi bungeni mwaka juzi!
0 notes
mazallaposts · 6 years
Quote
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Aprili 19, 2018 amehudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) ambapo anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Mkutano huo ambao Kaulimbiu yake ni “Kuelekea Mustakabali wa Pamoja” unafanyika chini ya Uenyekiti wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Mheshimiwa Theresa May na umefunguliwa na Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza. Majadiliano ya Mkutano wa CHOGM 2018 yatajikita kwenye maeneo manne makuu ya kipaumbele ambayo yatajadili namna Jumuiya ya Madola inaweza kufikia mustakabali wenye ustawi zaidi; mustakabali endelevu zaidi; mustakabali wenye haki zaidi; na mustakabali wenye usawa zaidi. Mijadala katika maeneo hayo ya kipaumbele itahusisha masuala mbalimbali ikiwemo, kukuza zaidi biashara na uwekezaji baina ya nchi za Jumuiya ya Madola kwa manufaa ya nchi wanachama na Jumuiya nzima; kukuza na kuendeleza misingi ya demokrasia; ajenda ya mabadiliko ya tabia nchi na maendeleo endelevu pamoja na masuala ya uhalifu wa kimataifa kama vile ugaidi, uhalifu wa kimtandao na usafirishaji wa binadamu. Jumuiya ya Madola ilianzishwa mwaka 1949 kupitia Tamko la London ambalo lilikuwa ni matokeo ya Mkutano wa Mawaziri Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola.  Jumuiya ya Madola ina wanachama 53 ambapo kati ya hizo, nchi 19 ni za Afrika, 7 ni kutoka Asia, 13 ni kutoka nchi za Carribean na Mabara ya Amerika, 11 ni kutoka eneo la Pacific na nchi 3 ni kutoka Ulaya. Makamu wa Rais pia alishahudhuria mikutano mbali mbali inayoambatana na mkutano huo ukiwemo mkutano wa Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi pamoja na Mkutano wa Kutokomeza Malaria kabisa. Katika mkutano huo uliofanyika jana Jioni, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipata fursa ya kuzungumzia hatua mbali mbali ambazo Serikali pamoja na Wadau wa Maendeleo wameweza kuzichukua kupambana na Malaria. Makamu wa Rais alisema Tanzania uwekezaji uliofanyika Tanzania miaka 10 nyuma  imechangia kupunguza kwa kiasi kikubwa Malaria nchini ambapo inatazamia ifikapo mwaka 2020 kutakuwa na maralia chini ya asilimia moja. Makamu wa Rais aliendelea kusema Tanzania inatambua mchango wa wadau wanaosaidia kupambana kuiondoa Malaria kabisa ambapo huduma mbali mbali zimeboreshwa . Makamu wa Rais alisema kuwa kwa sasa Tanzania imepiga hatua kwa kuwa na viwanda viwili vya kutengeneza dawa za viua dudu dhidi ya Malaria. Makamu wa rais alilishukuru Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) kwa kutambua jitihada za Serikali ya Tanzania dhidi ya Mapambano na Malaria, pia alitoa shukran kwa Bill and Melinda Gates Foundation, Swaziland na Rwanda kwa jitihada vao za kuhakikisha Malaria inarudi nyuma. Mkutano huo ambao ulihudhuriwa na Bill Gates pamoja na Prince Charles na Viongozi wengine wan chi za Jumuiya za Madola ulibeba kauli mbiu ya “ Tayari Kupambana na Malaria”  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Uingereza Bi. Theresa May muda mfupi kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa Mkutano Lacanster ambapo Wakuu wa Nchi na Serikali za Nchi za Jumuiya ya Madola Wanakutana jijini London kulia ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe. Patricia Scotland. Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli kwenye mkutano huo.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe. Patricia Scotland muda mfupi kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa Mkutano Lacanster ambapo Wakuu wa Nchi na Serikali za Nchi za Jumuiya ya Madola Wanakutana jijini London kushoto ni Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe. Theresa May. Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli kwenye mkutano huo.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
http://www.mtazamonews.co.tz/2018/04/makamu-wa-rais-wa-jamhuri-ya-muungano_20.html
0 notes
enockmaregesi · 8 years
Text
CS-Mumbai
Makao Makuu ya Tawi la Kolonia Santita nchini India na nchi zote za Asia na Australia, CS-Mumbai, yaliyopo Mumbai, Maharashtra, India, linaloongozwa na Sanjay Kanaka Ramachandra (baba wa watoto sita) ‘The Satellite’, lililoko chini ya udhibiti wa Kamishna Meja Jenerali U Nanda wa Asia-Australia.   Sanjay Kanaka Ramachandra, ‘The Satellite’, baada ya kutoka Korea ya Kaskazini na Salina Cruz kwa…
View On WordPress
0 notes