kadae18
kadae18
Kaka Dani Entertainment
22 posts
Stories, jokes, love advice, romantic stories, riwaya, simulizi, utani, makala za mapenzi all are here. Like my Facebook page here>>>> www.facabook.com/kakamtuhuru Enjoy.
Don't wanna be here? Send us removal request.
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
2 notes · View notes
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
TAZAMA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (FORM IV) 2018/2019. BONYEZA HAPA>>>>>> https://matokeo.necta.go.tz/csee/csee.htm Share na wengine waone
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
FUN CATS AND DUCKS
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
INTERESTING FACTS ABOUT YOUR BREASTS AND HEALTH. ~ Click and read here>>> http://www.goodhousekeeping.com/health/wellness/a24984/facts-about-breasts
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Quote
Mke au mume wako akikuambia kuwa hana imani na wewe, usikasirike, badala yake muulize ni kivipi hakuamini na ni wapi urekebishe ili akuamini tena. Itakuwa kuna mahali unahitaji kuparekebisha kwenye maisha yako na yeye.
Kaka Dani www.facebook.com/kakamtuhuru
1 note · View note
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
Beautiful polar bear photo by Olga Gladysheva
1 note · View note
kadae18 · 7 years ago
Text
TANZANIA: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA PILI (FORM TWO) 2018/2019
Bonyeza hapa>>> http://41.59.85.99/results/2018/ftna/ftna.htm kutazama matokeo ya mtihani wa kidato cha pili kwa mwaka 2018. Share na wengine wajue.
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
If even animals kiss, why should not you kiss your lover/wife or husband today? @kakamtuhuru
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
Cheating on your spouse is cheating on yourself. Be faithful.
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
Life quotes
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
KATIKA KILA MPANGO (PLAN) WA MAISHA kuna vitu vinne vya kuvitarajia: 1. Kufanikiwa zaidi ya ulivyo plan 2. Kufanikiwa kama ulivyo plan 3. Kufanikiwa kidogo 4. Kutofanikiwa kabisa kutimiza plan yako ........Ufanyeje? Haijalishi umefanikiwa kwa kiwango gani, usibweteke. Plan moja izae nyingine au ikue zaidi ya jana. Ikishindikana moja, anza nyingine au pata ujuzi zaidi kwanza wa plan uliyofeli kisha rudi uianze upya. WEWE NI MTU WA KUFANIKIWA. FANIKIWA www.facebook.com/kakamtuhuru
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
MAAJABU YA NJIWA ~ Doves lives with one sex partner in their whole life. (Faithfullness) ..... Njiwa huishi na mpenzi mmoja tu katika maisha yake yote. Njiwa huwa hawachepuki hata hali ziweje. Huwa anashiriki ngono na njiwa mmoja tu maisha yake yote. Anamjua mpenzi wake hata akiwa kwenye kundi kubwa la njiwa wenzake. Huwa wanavutiana kwa njia ya pekee na mapenzi yao hudumu mpaka kifo. .......SWALI NI......Ikiwa njiwa wasio na akili nyingi kama za binadamu ni waaminifu sana katika mahusiano ya mapenzi kwanini sisi tunakosa uaminifu tena mara nyingi chanzo kikiwa ni tamaa za kijinga au matatizo madogo madogo katika mahusiano? NI AIBU. Wanandoa na wapenzi wengi ( sio wote ) wanasalitiana kisirisiri. Si ajabu kwamba huenda kati ya kila ndoa (mahusiano) 10, ndoa (mahusiano) 8 zina usaliti au mipango ya usaliti ya chini kwa chini. TUJIFUNZE KWA NJIWA JAMANI, UAMINIFU NI HESHIMA KUBWA YA MAPENZI. LIKE MY FACEBOOK PAGE>>> www.facebook.com/kakamtuhuru Share
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Audio
Dani Wa Tatu_ Pole Maskini
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
Mountain Gorilla
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Photo
Tumblr media
Mpe tano mwanaume mwenzio, kununiana sio poa. #WANAUME SHOW LOVE. CHUKI MWIKO. _ www.facebook.com/kakamtuhuru
0 notes
kadae18 · 7 years ago
Quote
Mapenzi ni kama kazi ya kuajiriwa, kudumu nayo yataka moyo.
#NukuuZaKakaDani @kakamtuhuru
0 notes